Huu mchezo wa hii serikali ya hovyo inayouza rasilimali za watanganyika kisha haitaki kuambiwa ukweli kwa kuwatsiha wakosoaji ni wa kijinga, kama ameshindwa kuongoza nchi apishe wengine wanaoweza lakini sio kutaka kuwafunga watu midomo kwa njia za vitisho, kama Lissu akionesha hiyo gari kwa...
Yule anatafuna pote, sio kwa baadhi ya viongozi wa CDM tu, pia hata kwa baadhi ya vigogo wa CCM.
Simply anan'gata huku anapulizia kule, na anan'gata kule anapulizia huku, sijui kama umewahi kujiuliza kwanini alimshambulia sana Mange alipomlipua Samia hivi karibuni?
MMM ni mjanja mjanja wa...
Naona baadhi wanapata shida sana kumuelewa Msigwa, binafsi namuona kapevuka sana kwenye ulingo wa siasa za kiushandani sio ndani ya Chadema alipo, bali kwenye siasa za Tanzania kiujumla.
Mara kadhaa Msigwa amekuwa akihusishwa na kutaka kwenda CCM, ukitazama wanaomhusisha na hizo tuhuma wengi ni...
Msigwa yupo sahihi hapa, Mbowe anakosea kujiweka karibu na Maranja mtu ambae wakati mwingine kule X huwa ana lugha chafu sana, anayeona sifa kuropoka matusi bila wasiwasi.
Huyu Maranja kwa sasa ni kama amejigeuza msemaji wa Chadema kimya kimya, yeye ndie yupo mbele kuzungumzia mambo yanayohusu...
Siku hizi kila nikilala nikiamka naskia katoa bandari, mara tena katoa misitu, katoa madini, katoa na bahari, hizi ni tabia za mwanamke asiyejitambua anayetuonesha kwa vitendo kabisa enzi za ujana wake alikuwa na tabia za aina gani.
Kiumbe ambae hakuwahi kuota kuwa Rais wa nchi anapata madaraka kwa mtindo wa bahati nasibu, anaingia ikulu akiwa hajui moja wala mbili kuhusu uongozi, matokeo yake anatoa sehemu ya ardhi ya nchi aliyopewa kuiongoza kwa wageni huku yeye kwa ujinga wake akiamini bado ana mamlaka kamili ya...
Akili ndogo inaendelea kutu cost kama taifa, mpaka aondoke madarakani huyu Rais atatuacha hatuna thamani yoyote zaidi ya kuhangaika kulipa madeni huku rasilimali zetu akiwa amezitoa kwa wageni, Samia amekuja kutuachia umaskini watanganyika.
Msigwa sio kibaraka wa CCM, mtu kudai haki yake hakumuondolei uhalali wa uanachama wake Chadema, grow up.
Hebu nitajie kina nani waliwahi kudhulumiwa na Mbowe wakatoa malalamiko yao, hebu nitajie nami niwajue kama wewe...
Ajabu sana, mwanafunzi ndie ameendelea kushikiliwa kituo cha polisi, huku mwalimu akiachiwa huru, polisi sijui huwa wanatumia akili gani kwenye mambo yao.
Aende KK akatoe malalamiko yake, na kama ikithibitika kuna rafu ilichezeka dhidi yake, hili litaenda kuacha doa Chadema.
Kama Msigwa mwanzo alimlalamikia John Mrema asisimamie ule uchaguzi wao kwasababu alionekana akilewa pombe na Sugu, na kama Mrema ni miongoni mwa wajumbe wa KK, endapo majibu...
Tumekuwa raia wa bahati mbaya kila awamu, tuna bahati mbaya sana lakini kiongozi unapofikia hatua ya kuchezea rasilimali za taifa, hii kwangu ni zaidi ya bahati mbaya.
Alichofanya Msigwa ni haki yake, kama hajaridhishwa na namna Sugu alivyoshinda na ana sababu za mantiki kupinga ushindi wake, sioni ubaya wowote kwa Msigwa kukata rufaa.
Simply anachofanya Msigwa anataka haki ifuatwe, kama KK itaamua kumpa ushindi Sugu au kumpoka, bado sioni kama kuna jambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.