Search results

  1. K

    Nashindwa kufika mshindo

    Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa... halafu dushe linawyeaaa hapo ndio basi mpaka kesho tena...
  2. K

    Mke wangu karudi kwenye dini yake

    Habari wakuu, Naombeni mnishauri. Mimi nilioa miaka 18 iliyopita mpaka niko na mke wangu tuna watoto kadhaa na mali kadhaa. Sasa huyu mke wangu alikuwa mkiristo mimi muislam kwenye kufunga ndoa ni yeye alibadil dini na tukafunga ndoa ya kiislam. Tumeishi vizuri miaka yote hiyo kwa amani na...
  3. K

    Ni kawaida kuona mjusi mwenye mikia miwili nyumbani kwako?

    Habari, naomba niende kwenye lengo la uzi. Niliona mjusi mwenye mikia miwili ndani kwangu hii kitu ilinishtua sana. Sasa hivi umri wangu unakaribia nusu karne ila sijawahi kuona wala jambo kama hili, sasa wana JF mniambie je, ni kawaida hii?
  4. K

    Mishono mipya ya nguo

    Tupia MISHONO ya nguo hapa iwe ya wadada wamama watoto vijana n.k
  5. K

    Natakiwa kuwa mganga

    Habari Mwenzenu niliumwa Sana nilienda hospital hawaoni ugonjwa Hivi juzi Kati nikageukia tiba asilia Ni huko ndiyo nimeambiwa kuwa ugonjwa wangu hauhitaji dawa Ila natakiwa niwe mganga ndio nitapona Naomba mnishauri jamani nifanyeje Mimi sitaki kuwa mganga Au kama kuna vitu ambavyo...
Back
Top Bottom