Kuna theories kwenye spin coding zinatumika, ubunifu mzuri ndio msingi wa ufanisi kwenye kazi.
Ligi imesimama, raia wajuvi na international media zimeripoti kuhusu baadhi ya matukio ya kiongozi wa nchi, wengineo wakaanza kuhoji kwanini imekuwa hivi na vile, mara nyingi mpira ulitumika kuwaondoa...
Mambo ni mengi ya kufanya, nadhani unafahamu ila acha nikukumbushe tu, kuna watu wanavibeba vyama vya upinzani na hawajulikani na viongozi wa vyama husika ila wanapambana kuhakikisha upinzani inataka nyoyo na akili za watanzania, ko hali iko hivyo pia kwa wanaccm wapo baadhi yao ni kupiga...
Waweke mfumo ambao utailindi taasisi ya urais kujibu hoja za wananchi na wapinzani ili kumlinda rais na hayo mnayoyadai, au msemaji mkuu wa serikali awe aidha chini ya PM au awe na mamlaka ya kuzungumza na kujibu hoja zote zinazopelekwa dhidi yao, hii itafanya kurugenzi ya mawasiliano isiwe na...
Tatizo unagugo sana, ni heri ungekuwa unagugo na kufanya kopi and paste, umegugo then unaongeza na ya kwako tena kwa chuki,,,,!!!
Relax kidogo nikuhabarishe, uislamu ulikuwapo tangu enzi za adam hadi Issa, then ukapotea kwa sababu baada ya Issa dini mpya zaidi ikazuka nayo ni ukristo, na ndio...
Kuna baadhi ya vitu hutakiwi kupinga kwa kuwa ni mfuasi wa dhehebu fulani,,,,!!!
Ukweli unabaki palepale kwamba Issa (a.s) was not christian and he will not be christian ever as you claim,,,!!!
Warumi wa wapi,,,,????
Pale ulaya ya mashariki???
Na kitovu cha ukatoliki si Italia kwa sasa, hata hao watukufu wa kikatoliki ni waitalia, ulaya ya magharibi na sasa wameanza kuwachukua waamerika ya kusini,,,,!!!
Wakatoliki hawatakuja kuwapa uongozi watu wa ulaya mashariki au middle east, kwa...
Uislamu ulikuwepo kabla ya ukristo, kwa sababu uislamu ulianza kwa adamu, Idrisa, nuh, Ibrahim,(Abraham) Issa (Yesu) , Muhammad hadi kutufikia sisi na wajao,.
Je ukristo ulianzia wapi kwa ushahidi wa maandiko ya biblia uiaminiyo???
Dini yenu ni ngeni zaidi, na imebebwa na shetani na ndiyo...
Hizo ni fallacies au propaganda dhidi ya uislamu, hakuna ukweli wowote, na kuthibitisha ujinga wenu huwa mnabeba uzushi wa namna hiyo na kuuamini!
Kama ingelikuwa kuna ukweli katika hayo ya majini na mapepo basi kesi za mapepo zingelikuwa nyingi msikitini, ushawahi kusikia msikitini kuna mapepo...
Kasomeeee,,,,,,!!!!
Acha kukariri, haya elezea wewe kile unachokifahamu,,,,,,!!!!
Hao wachungaji na mapadri ambao ni wajuzi zaidi kuzidi wa ukristo kuzidi wewe hawakapingi kuwa yesu na Issa is the same, we ni nani hadi upinge,,,!!!
We una elimu gani ya dini na umeipatia wapi???
We subiri...
kumbe yesu alilelewa Nazareth,,,,!!!
Hivi munafahamu hiyo Nazareth iko wapi kwa sasa,,,,,????
Basi ngoja niwadukulie hata kwa uchache.
Tuanze na sehemu aliyozaliwa, ni kule bethlehem au waarabu wanapaita bait alrahma, sehemu yenye historia katika kisa cha israi na miraj, sehemu hii ipo...
acha maneno mengi mzee,,,,,
We kweli punguani, hayo yanauhusiano gani na mada,,,,,????
Nadhani unalazimisha kunitoa kwenye mada aidha kwa kujua unachofanya au kutokujua,,,,!!!
We bado mtoto mdogo kwenye utambuzi wa mambo.
hiyo jihad ya Somalia inafanywa dhidi ya akina nani, na kwa misingi ipi,,,,,????
kwanza hamna jihad ya hamasa kama unavyodhani.
Jihad feki ya Somalia inafanywa dhidi ya waislamu wa kisomali. (Hapo hakuna sababu ya jihad).
Ikiwa kuna jamii isiyo ya kiislamu munaishi nayo kwa wema na amani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.