Ni kweli kuna changamoto hizo, lakini kupitia mfumo huu wenye kipengele cha Uchambuzi na maarofa ya takwimu, utasaidia kuona mwenendo wa zoezi la usimamizi na ukusanyaji taka pia utawezesha kutambua maeneo yanayohitaji maboresho ikiwemo kuweka miundombinu rafiki, sera za mipango miji na uongozi...
Ni kweli kabisa, yoye ulio yasema ni hali halisi inayoendelea mitaani kwetu katika swala zima la taka. Ila kwa kupitia mfumo huu pendekezi ikiwemo uboreshaji wa miundombinu itasaidia kupunguza changamoto hizi kwani mfumo utaruhusu pande zote zinazohusika kusimamia zoezi zima na mwenendo wake.
Nimeikubali sana kazi yako mkuu. Allah akujalie uwezo zaidi na ubunifu uendelee kutuletea suluhu ya matatizo katika jamii kwenye swala zima la sayansi na teknolojia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.