Search results

  1. LAETUS

    Swali kuhusu kifo

    Nawasubiria kwa hamu ....
  2. LAETUS

    Swali kuhusu kifo

    Ko niki maintain diet fresh tu ..miaka mia njenje😂
  3. LAETUS

    Swali kuhusu kifo

    Aanh ,Na vp kuhusu "natural deaths"?
  4. LAETUS

    Swali kuhusu kifo

    Habari Wana JF, Nina swali hapa ,hivi Kuna kifo kinawezatokea(binadamu kuaga dunia), bila sababu maalum kama vile za ugonjwa au ajali?
  5. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Thanks ,welcome to recycle plastics and bring on green energy
  6. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Asante kwa Maoni Yako Mr.. Naomba nianze kwa kukwambia kuwa hii ni new innovation na ipo kwenye stage ya testing ,hatufanyi kitu chenye kishafanywa na mtu na sisi tuna hatimiliki ya hii innovation ,na actually kinachokupa wasiwasi ndo power ya innovation hii kwasababu ni kitu kipya kwako na...
  7. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Kuna models tatu...nishati plus(5kW) ,nishati mix (3kW )na nishati min (1kW)...specifically with varying engines .
  8. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Kweli kabisa ,kubadilisha attitudes za watu ni kazi moja kubwa zaidi kuelekea commercialization..Nawakaribisha investors pia kwa ajili ya scale up ya mradi.
  9. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Asante kwa Maoni . Kubusu hizo plastics na organics tunaziprocess wenyewe na kuziweka kwenye blocks (vipande) ,ambapo hizi blocks ndo zitaingizwa kwenye mashine kwa Ajili ya kuiendesha ...mnunuaji haitaji kutafuta uchafu atanunua blocks zilizo tayari .
  10. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Unaweza ipata kwenye page zetu mtandaoni ,au kwenye page ya ITV utaikuta (nishatimix)
  11. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Naomba kusikia Maoni yenu Wana JF kuhusu mradi wangu (wetu) ambao upo kwenye stage ya majaribio,kuelekea commercialization .Hii itanisaidia sana kupata statistics na kupanga market penetration strategies. ,karibuni sana Link ni Thread 'NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa...
  12. LAETUS

    Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

    Umaskini wetu tu ,Kuna kampuni Africa zinaanza kama start-ups za kawaida lakini still zimeweza kuwa kubwa ...wazungu wakikuona una kitu wanakupa Hela na wanakutumia kwa faida yao tu
  13. LAETUS

    Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

    Hii ni kweli kabisa ,lakini Kuna watu wanaamini kununua vitu vya bei kubwa na kutokuamini vya nchini kisa vimetengenezwa Tanzania ...hili bado ni tatizo pia
  14. LAETUS

    Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

    Ni yaleyale issue ni brand ...coca cola ni kampuni kubwa tayari ndo maana
  15. LAETUS

    Tetesi: Kwanini bidhaa /vifaa vinazozalishwa nje vinaaminika kuliko bidhaa au vifaa vinavyotengenezwa nchini ??

    Kuna mambo yetu tunatakiwa kuyaamini ,mfano kwenye suala la bunifu za kisayansi ,ambapo wabunifu wengi hawaaminiki Tanzania lakini wanaaminika nje na kupata uwekezaji mkubwa kutoka makampuni ya nje ...vp kuhusu hili unaonaje?
  16. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    Asante kwa Maoni Mr Charles,sijaweza kuambatanisha taarifa zote kutokana na kiwango Cha maneno yanayotakiwa na waandaaji wa stories of change .Lakini pia kuhusu gesi chafu ,hazitoki ndani ya mashine ,Kuna catalyst pamoja na filters zinazozuia gesi chafu kutoka ndani ya mashine ,kwenye mfumo wa...
  17. LAETUS

    SoC03 NISHATI MIX-Mashine ya kuzalisha umeme pamoja na gesi kwa kutumia Plastiki na Uchafu unaooza

    I am profoundly grateful . Your appreciation serves as a powerful affirmation of my dedication and encourages me to continue striving for excellence
Back
Top Bottom