Search results

  1. Uhakika Bro

    Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Kwani ile user agreement ilisema nini? Unaweza kuta ni usumbufu sawa ila kisheria wakawa wapo fresh.
  2. Uhakika Bro

    Riwaya; CONNECTION

    Ookay, tutaisubiri
  3. Uhakika Bro

    Tumeshindwa kuumiliki ulimwengu wetu kwa kuutamaani ulimwengu wa Hadithi

    Haina mbaya kuwa na kitu bora cha kufikirika tunachokitamani na kukiendea. Ni vizuri kuwa na maono mema, sema tunahitaji tu kuwa na ujuzi wa kwamba: huo ulimwengu mpya tutauleteleza sie wenyewe. Yaani tupo tunaifanya kazi ya kuijenga pepo/paradiso yetu kwa shughuli zetu za kila siku, mafikirio...
  4. Uhakika Bro

    SoC04 Tanzania nchi yangu

    TUtafika tu, tutafika
  5. Uhakika Bro

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    👊👊 Nature ilivyopangilia ewaaah!. Haijalishi unamtaja Mungu kwa kutumia neno gani, unamkiri kwa imani yako kwa 'Nature'. Basi bwana info, wewe wala huhitajiki tena kutafuta sifa za mungu achana naye. Bakia hapohapo kwenye nature, endelea kuchimba sifa za nature, tafakari nature, chunguza...
  6. Uhakika Bro

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Kiukweli hata sasa Mungu anasema na wewe kupitia KWELI hizi unazosoma humu Jf Aepm na mie na wengine wakitype ukweli basi ujue ni Mungu anasema kupitia wao. Unanakili??
  7. Uhakika Bro

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Hahahaaaaah! 😆. Seee! Nyie jamaa mnaamini sana katika kutokuwepo (kifo) na ndicho mnakipigania siku zote. Huwa inaniacha na maswali hivi ni kwa namna gani mtu anakuwa na utayari na utamani wa kifo kwa kiwango hicho? Inashangaza sana. Ndiyo maana wanadamu tunaaswa kuwa kamwe tusijidhanie kujua...
  8. Uhakika Bro

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Hakika, akili wazo lenye akili ndio tunachotafuta na ndicho sie wenyewe tulicho. Mkana wazo la Mungu mara nyingi kama sio zote hukana pia yeye kuwepo. Hukana kila kitu, atakana uhakika, atakana muda, atakana akili, atakana upendo. Ni watu wakumbatiao na kupendelea kutokuwepo kiasi kwamba mwisho...
  9. Uhakika Bro

    SoC04 What if the nation really need is to breathe? We want a properly breathing Tanzania

    I am no preacher; I am a researcher. But I know the code, and that code is the Word of God. "Thus saith the Lord GOD unto these bones; Behold, I will cause breath to enter into you, and ye shall live" (1). "Whomever GOD wills to guide, He renders his chest wide open to Submission. And whomever...
  10. Uhakika Bro

    SoC04 Je, ikiwa taifa linachohitaji kiukweli ni kupumua? Tanzania inayopumua ipasavyo

    Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu. Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1) "Mwenyezi Mungu Amtakaye kumwongoza hukifungua kifua chake kwa kunyenyekea. Na amtakaye kumpoteza hukifanya...
  11. Uhakika Bro

    SoC04 Mfumo mbovu wa elimu

    Homohabils, nimejua kuwa kutumia zana kulitusaidia sana kuendelea kama watu. Photosynthesis nikajua kwamba fizikia ya vifurushi inahusika kuifanya fotoni ya mwanga kujongea katika kitivo cha kati cha michakato 😆😆😆😆😆😆😆😆. Ninywe maji kwanza asee hiyo sentensi hapana. Mmmh ukosoma somo moja tu...
  12. Uhakika Bro

    SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Hahahaaaah we jamaa, asee una kipaji cha kutatua tatizo comprehensivelly 😆😆 Hakika bro. Itakuwa kama sehemu yao ya kulipa kwa jamii isiyohusisha kodi wala riba. Natumaini gharama za uendeshaji hazitakuwa kubwa maana watu wa kujitolea watakuwa wengi na wanaamini katika dini zao.
  13. Uhakika Bro

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    Ooooh! Is it like making a mobile clinic train!! Or an ambulance train? Woow! This is new to most of us. Ill read this, because the maths is mind bogling🤯. New ideas everyday. The Tz we want.
  14. Uhakika Bro

    SoC04 Tanzania tuitakayo na mfumo wa malezi katika lishe

    Duuuh! Hatari sana tunafeli wapii? Yas tutafiti tujue nini kinatukwamisha?
  15. Uhakika Bro

    SoC04 Nafasi za Mawaziri zinazohitaji ridhaa ya Wananchi

    Wazo zuri, iwe kateuliwa iwe kachaguliwa muhimu atosheee kwenye nafasi yake. MERITOCRACY
  16. Uhakika Bro

    SoC04 Vita dhidi ya uraibu wa kamari na vilevi vikali, kuinusuru Tanzania tuitakayo

    Ni hasara, Nakubaliana na hili, yote yafanywe kama sigara. Na kama ambavyo hairuhisiwi kufungua baa asubuhi, iwe hivyohivyo na matangazo pamoja na michezo ya kamari. Matangazo kwa SMS pia yasiwepo kama tu ambavyo hakuna bia inatangazwa kwa meseji kila dakika 'kunywa bia hii ulewe mpaka asubuhi'
  17. Uhakika Bro

    SoC04 Kupitia mfumo huu bora wa elimu adui ujinga, maradhi na umasikini hawatatusogelea ng'o

    Na kama tungetambua kuwa ujinga ni kosa kubwa wakati upumbavu ni dhambi kabisa tutapiga hatua....... tusikie. Hili nnaunga mkono sana, tusirudierudie mambo tupate muda zaidi tujifunze mambo anuwai. Adui ujinga ndiye aliyetoa kosababishi cha sie kuendelea kuteseka sababu ya ujinga yaaani daaaah
  18. Uhakika Bro

    SoC04 Matumizi ya taasisi za Mawasiliano na mifumo ya Kidijitali kama njia ya mawasiliano (kutoa taarifa) kati ya wananchi na viongozi

    Hili tatizo sugu, japp baadhi ya taasisi wanajibu mfano NAOT wapo vizuri👏. Hakika, tunaunganika kwa taarifa kiasi cha kuwa kama kiumbe mmoja
  19. Uhakika Bro

    SoC04 Kuwekeza katika uvunaji wa poleni za nyuki kwa ajili ya matibabu ya figo

    Anhaaa, ni kitu kinafanya kazi kabisa eeeeh! Tafiti na maendeleo (r&d) kwa maendeleo ya fursa za nyuki. NIMRI wahusike, watafiti tupo tu hatuna kazi hapa. Muajiri wanamaabara, scientists, microbiologists, wafamasia, chemists tuwekeze tafiti za tiba za ndani camooon!
  20. Uhakika Bro

    SoC04 Mbinu za kongeza kipato kwa familia

    Sawa, tuhakikishe tu tunakopa kwa akili tu.
Back
Top Bottom