Nina Vijana wangu wapo Wawili mapacha ila ni Standard 1 pale MAGUFULI , kama uko tayari naomba uje uwafundishe kwa ule muda wa ziada hapa Nyumbani na kuhusu malipo ni makubaliano [emoji1488][emoji1488]..
Tunauza korosho nzuri kwa. Bei nzuri kutoka mtwara mahali popote pale Mzigo unakofikia ni kuweka Order yako mapema na kwa wakati , Tupigie kwa No 0712359510,0712359510...BEI ( Price) zetu 25,000 kwa kilo ( KG) ,Usisahau Mzigo unakufikia popote pale ulipo ndani na nje ya nchi ,
Hilo Ni jembe kweli kweli na sio kudanganywa kuna wakati unatakiwa kupata wasaa wa kuwahudumia na wengine katika eneo lako ndicho alichofanya kaenda kusaidia nyumbani na kazi zinakwenda vizuri sanaa huku wananchii wa jimbo la masasi wakiona kama alichelewa kua mbunge wao , Kongele Mzee Geoffrey...
Mhe Geoffrey Mwambe Ni Mbunge wa viwango vikubwa sanaa Ana Busara, Hekima, Mzalendo wa kweli, Msomi, Mbobevu katika masuala ya Uwekezaji na uchumi hakika hiii ni Tunu ya taifa letu ni hazina kweli kweli anaifanya Masasi yetu kua Juu na hakika ni fahari yetu[emoji1488][emoji1488]
Kwenye laki Nane ulimuelewa vizuri? Au upo kwa kuleta taharuki? Yeye alisema gharama zinakua lakini laki nane lakini SERIKALI inatoa laki 7 na sabini na Mwananchi anachangia hiyo Elfu 27 inayosalia ndio ilikua maana yake
Mwigulu sio mbobevu? Hivi mnafatilia mambo au mnasema tu kwasababu ya Tozo[emoji3], Mwigulu sio Mbobevu? First class ya uchumi kapita BOT, Uchumi na fedha ccm, naibu wizara fedha wakati wakatk wa Jk alafu unakuja kusema sio Mbobevu? Khaa acheni kunajisi watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.