Search results

  1. M

    SoC03 Athari za utapeli wa kimapenzi katika malezi na jamii

    Utapeli wa kimapenzi kwa sasa umeshamiri katika jamii yetu. Vijana wengine wanachukulia kama imekua fasheni. Katika jamii ya sasa imekuwa ngumu kujua yupi mwenye mapenzi ya kweli au uongo. Yupi mwenye nia ya kweli au uongo Mapenzi ni kitu cha muhimu katika jamii yoyote. Upendo ndiyo huunganisha...
  2. M

    SoC01 Walemavu pia wanaweza wapewe nafasi

    Katika jumla ya watu wote dunia nzima inasemekana kuwa asilimia 10 ni walemavu. Ulemavu unaweza kutokana na MTU kuzaliwa nao ajali , magonjwa yanaopeleka kiungo cha mwili kukatwa au kushindwa kufanya kazi. Kila kiungo cha binadamu kinaumuhimu wake sana katika maisha yetu ya kila siku mfano miguu...
Back
Top Bottom