Search results

  1. Ndombe Mubele

    Sijawahi kuielewa timu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan

    Walikua na Timu nzuri Zama zile wanaitoa yanga ya nani Ile Al hilal yenye Mohamed Abdelrahman Makabi Lilepo Vidinho Ibram Imoro ISSA Fofana Abagua David na wengineo ilikua Bora ila baada ya vita wachezaji wameikimbia timu imebomoka hapa ibenge anahangaika kuisuka upya na hawa wachezaji wake...
  2. Ndombe Mubele

    Hivi kwa nini watu mkoa wa Kigoma wakitoka mkoani mwao hawarudi tena kwao kabisa?

    Nimekaa huko Miezi 3 Itoshe kusema kigoma Hali ya maisha ni mbaya Sana Hakuna kabisa mzunguko wa Pesa Eti ukirudi uwekeze kwenye ishu Fulani hilo linakua gumu Kingne Uchawi ni mwingi balaaaile mikoa yenye ziwa Tanganyika Kwa Uchawi ni Balaaa Ukirudi huko una Hela zako eti Ujenge Nyumba nzuri...
  3. Ndombe Mubele

    Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    2013 mpk dada cjabadilisha hii nyingne ya Airtel nilianza Tumia 2020
  4. Ndombe Mubele

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    Una Matatizo wewe Yani timu ya 7 Bora Africa ianzie Nyumbani tena Raundi ya kwanza ? Unafatilia soka vzr kweli wewe?
  5. Ndombe Mubele

    Mambo yanayochangia kuharibu maisha ya vijana wengi

    Aaaah sasa nyeto limeingiaje apo
  6. Ndombe Mubele

    Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    Hapo hatari ni mabululu tuu hao wengne hamna kitu
  7. Ndombe Mubele

    Kumbe Sauda Mwilima ndio alikuwa video vixen kwenye nilikupenda - Abby Skilz ft Dully Syke

    Nilitokwa na machozi Nikashindwa kuvumiliaa Nikataka Kujitundika Kweli Mapenzi anauwaa
  8. Ndombe Mubele

    Nina laki tano mtaji kwenye betting naitaka milioni 10 mpaka mwakani

    Cheza Live Bet Mm hua nachezaga hiyo mfano dk 42 unaweka Correct Score ya first half au dk ya 89 unaweka Correct score ya mechi inalipa ukiwa na mtaji mkubwa
  9. Ndombe Mubele

    Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Daaah ila wewe Jamaaa unatapeliwa Sana Hilo kisa Cha 1 ndo ulinichekesha Ulimuamini jamaa kisa kavaa vizuri na Ana kitambi? Ogopa sana wanaovaa vizuri Kuna mwamba apo anasema katapeliwa na jamaa aliovaa Smart kabisa ila uyo tapeli Simu alikua anatumia ni Nokia ya tochi
  10. Ndombe Mubele

    Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    Hivyo vitu baadhi ulivyoorodhesha Bongo havipatika i
  11. Ndombe Mubele

    KERO Hali ya kuvuka Kigamboni si shwari, tunalazimika kuvuka kwa mitumbwi

    Inategemea na unakotoka mkuu Kuna sehemu kuvuka Kwa Barabara ni Shida sana alafu ni mbali
  12. Ndombe Mubele

    Diamond Platinum awa gumzo kubwa Paris Fashion Week na vazi lake la pweza

    Huku mtaani Ukivaa kama hivyo halafu maisha yanakupiga inaonekana Kama Chizi
  13. Ndombe Mubele

    Kwa mwendo huu, Tren ya umeme haitakuwa na tija Tanzania

    Kwani hyo treni safari inaanza lini
  14. Ndombe Mubele

    Mama Samia yupo Sahihi

    Hao wa nje Hawaishi Humu Tanzania Sisi Tunaoishi bongo Tunamjua Hali halisi ilivyo Hao wa nje Hawana Wanalojua
  15. Ndombe Mubele

    Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    Ile hata mm nakumbuka Jamaa Anadai alikua madogo sana Ila had Leo hajawahi mwambia mtu
  16. Ndombe Mubele

    Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Sasa Wewe kwenu Kigoma alafu unahangaika hivyo? Nenda Ujiji kule Waganga kibao
  17. Ndombe Mubele

    Sio kwa ubaya lakini wenzetu waislamu mnakera na adhana ya asubuhi

    Usikute Wewe Ndio Uliukuta Huo Msikiti hapo Ukajenga Hilo pagala lako hapo halafu unaanza kuleta Mada za Kipuuzi
  18. Ndombe Mubele

    Nani muasisi wa kula mara tatu kwa siku?

    Upo Sahihi Sijui huuu Utaratibu waliutoa Wapi?
  19. Ndombe Mubele

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sio huu Mkuuu
Back
Top Bottom