Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa watumishi ngazi ya serikali za Mitaa hasa kada ya Watendaji wa Vijiji (VEO) na Mitaa (MEO). Malalamiko yanayotokana na Mishahara midogo isiyokidhi gharama za maisha. Ukilinganisha na majukumu yao na Mazingira yao ya kazi.
Malalamiko na vilio vyao...
Tutambue viongozi wa dini ndio chanzo cha uwepo wa Amani na Pia uvunjifu. wa Amani katik Nchi kutokana na mafunzo na maelekezo watoayo huingia moja kwa moja kweny mioyo ya Waumini wao. Hivyo kwa ushauri Kama ni serikali ndio imemchukua ni vyema ikatoa taarifa na hata kumpeleka mahakamani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.