Search results

  1. Hapana What

    Ushuru wa bandarini ukoje?

    Ninaomba kujua ulipaji wa ushuru wa bandarini ukoje maana nahitaji kuagiza mashine toka China, mashine bei ni $ 2000 dimension zake urefu ni futi 8 upana fut 3 na kimo ni futi 4 lkn nashindwa kutokana na kutokujua gharama ya ushuru bandarini ukoje isije ikawa gharama kubwa zaidi ya mashine...
  2. Hapana What

    SoC03 Mfumo wa taarifa za kijiografia na jinsi ya kuunganisha mifumo ya wadau wa kilimo na wakulima kwa kumuwezesha mkulima

    UTANGULIZI Kuna fasihi pana ambayo inaunga mkono kwamba urasimishaji wa ardhi utawapa wamiliki wa ardhi manufaa ambayo ni pamoja na: dhamana ya kupata mikopo; kuongeza motisha ya kuwekeza kwa wawekezaji; kupata haki za ardhi kwa wanawake na vijana; kutoa usalama wa kupanua ukodishaji na masoko...
  3. Hapana What

    Plastic crusher

    Tunatengeneza mashine za kuchakata plastic, kusaga plastic,kuyeyusha plastic pia Tunapatikana mabibo karibu na mwananchi communication
  4. Hapana What

    INAUZWA Mashine ya kuchana mbao

    2,500,000 Hp 7 single Hp 10hp Kwa mawasiliano 0689 859167
  5. Hapana What

    Pata mashine za kusaga plastic (plastic crusher)

    Specifications Kg 300 per hr Hp 30 motor Size 75 Plate 25mm Price 12,000,000/ Cont. 0689 859167 Hp 15 motor Kg 100 per hr Size 60 Plate 25mm Price 10,000,000/
  6. Hapana What

    Mashine za mbao

    Kwa uhitaji wa mashine za mbao kuchana, kukereza, spindle nk wasiliana nasi 0689 859167
  7. Hapana What

    Kwa mahitaji ya upimaji wa ardhi, uandaaji wa ramani

    Kwa mahitaji ya upimaji wa ardhi, uandaaji wa ramani, picha za satellite processing Wasiliana nasi 0689 859167 tupo Riverside
  8. Hapana What

    Nina mashie ya kuzalisha miguu y sofa nahitaji mtu nimpea kwa makubaliano

    Nina mashie ya kuzalisha miguu y sofa nahitaji mtu nimpea kwa makubaliano afanyie kazi , swala l kuiweka wap juu yake kama hajui namna ya kuitumia tamfundisha na soko namuunganishia nina watu wahitaji hata pic 400 kw cku . mhitaji awe na wadhamini wawili ,awe mkoa wa dar es salaam 0689 859167...
  9. Hapana What

    Tunatengeneza mashine zifuatazo

    (a) Kundi ..........Mbao 1/ Kucnana mbao 2/ kurand mbao 3/ Kukereza mbao 4/ Kupiga spindle 5/ Kutoboa mbao (b).............. chuma 1/ bench drill (kutoboa chuma) 2/ Lasser machine (mashine za kuchonga vyuma) 3/bench grider (kukata vyuma) 4/ kukunja vyuma (c) .............. 1/...
Back
Top Bottom