Search results

  1. Undava King

    Ushauri wangu kwa serikali ya Jiji la Mwanza

    Tukitaka jiji la Mwanza liwe bora kimwonekano lakini pia liongeze thamani ya ardhi na uwekezaji ambao utachangia mapato basi hatuna budi kuanza na ile mitaa ya daraja la juu na daraja la kati ambapo ni rahisi mno kufanya marekebisho kuliko ile ndoto ya mchana ya kuibadili mabatini kuwa real...
  2. Undava King

    Ishara kuwa ulishaukwaa ila ngwengwe ikala besela

    Kuna watu hawaamini mpaka leo kuwa ngoma ni ugonjwa dhaifu kama magonjwa mengine pindi unapoingia mwilini kwa mara ya kwanza. Ikiwa mwili wako ni mwili wenye kinga imara ambayo inaweza kupambana vyema na vijidudu vya maradhi. Na ikiwa wewe ni muumini mzuri wa ngono zembe na mpaka muda huu uko...
  3. Undava King

    Know Your Car (engine)

    Kama wewe ni moja ya wale wanaopenda walahu kujua kwa mwonekano baadhi ya vipuri vya magari hasa katika engine ambapo wengi wetu tumekuwa tukisumbuana na mafundi wanapotuelezea vifaa vipi vimeisha tubadilishe au tukanunue na unajikuta katika wakati mgumu usijue chakufanya zaidi ya kumwachia...
  4. Undava King

    Baadhi ya tungo za wasanii na ukakasi wake

    Kuna baadhi ya mistari au beti za nyimbo za wasanii wetu wa kizazi kipya ambazo ukizisikiliza kwa umakini lazima uondoke na tashwishi. Lakini kubwa zaidi ni pale unapojaribu kuusikiliza wimbo kisha ujaribu kufikiria nje ya box (kimantiki) kisha jaribu kuwaambia watu ulichokiwaza baada ya...
  5. Undava King

    Je, kudhibiti kipindupindu ni lazima tuzuie biashara zingine zisifanyike?

    Nimesikitishwa na maono ya wataalamu wetu katika sekta ya afya kwa kuchukulia mambo kiimla-imla pasipo kuwa na consideration katika maamuzi yao ambayo kwa namna moja au nyingine uathiri maisha ya watanzania wenzao. Ni kweli taifa linakabiliwa kwa sasa na mlipuko wa magonjwa yatokanayo na uchafu...
  6. Undava King

    Je, kuna ukweli kuwa vocha zinasababisha kansa?

    Naomba nipate majibu ya kitaalamu kama ni kweli vocha za simu (kwa ajili ya muda wa maongezi) zinapokwanguliwa ule unga unga wake ikitokea ukaingia mwilini unasababisha madhara makubwa ikiwepo kansa. Kumekuwa na kasumba ya kutumia sarafu kama kikwangulio. Je ni nani aliyetuaminisha kuwa kutumia...
  7. Undava King

    Tendo la ndoa kwa Mwanaume na ondoleo la nuksi

    Tokea katika kipindi cha kale zaidi cha zama alizopitia mwanadamu. Binadamu ameonekana kuibariki ngono kupitia michoro, alama na sanamu ambazo zimekuwa zikipatikana katika nchi nyingi duniani zenye historia ya muda mrefu katika historia ya binadamu. Leo hii katika zama mpya tawala za kidunia na...
  8. Undava King

    Baadhi ya Misimu bora mwaka 2023 ya "Vijana wa Ovyo"

    Tukiwa tunaelekea ukingoni kwa mwaka wa 2023 ni vyema tukijikumbusha baadhi ya misemo ambayo imetokea kufanya vizuri kimatumizi katika kusanifisha na kukuza misamiati katika lugha yetu pendwa ya kiswahili; hii hapa ni baadhi ya misimu hiyo kama unakumbuka mingine unaweza ongezea. 1. Maokoto 2...
  9. Undava King

    Kwanini tunalea kizazi cha watoto ambao hawaguswi na suala la utunzaji wa mazingira?

    Nimewiwa kulizungumzia hili, kwa kuwa jamii inaendelea kupoteza kabisa ule mguso wa kimazingira na umuhimu wake katika maisha yao. Katika ngazi ya familia waathiriwa zaidi ni watoto wetu, Mtoto aambiwi wala kufundishwa kwa vitendo kupanda miti na kuitunza, kupenda wanyama na kuwahudumia wala...
  10. Undava King

    Mall mpya Jijini Mwanza ni kituko cha karne

    Kufuatia uwepo wa tetesi za kutosha juu ya ujio wa Mall mpya katika eneo la Mtaa wa Nyakato eneo ilipo stendi ndogo ya daladala za National mkabala na kituo cha polisi cha Nyakato kwa kipindi kirefu sasa. Basi nikaona isiwe taabu pindi ntakapotembelea jiji hili la miamba nisiache kupepesa macho...
  11. Undava King

    12 tips for good health

    1. Drink water this morning. Your kidneys will thank you. 2. Eat at least an egg today. Your brain will thank you. 3. Exercise for at least 30 minutes today or take a long walk. Your heart will thank you. 4. Stay hydrated through today. Your kidneys will remain grateful. 5. Get morning...
  12. Undava King

    Vitu ambavyo Mwanaume au Mwanamke mwenye akili timamu kamwe hawezi kufanya

    Vitu ambavyo kamwe MWANAUME mwenye akili timamu hawezi kufanya. 1. Kunywa pombe. 2. Kutumia sukari. 3. Kutumia bidhaa zinazotokana na ngano. 4. Kula soseji, uvutaji na kula vyakula vya viwandani. 5. Kuchangisha mahari kupitia makundi ya WhatsApp. 6. Kuvuta kile kijiti cha Kansa a.k.a...
  13. Undava King

    Ndoto ya Dar es Salaam kuwa na jengo refu zaidi ilivyotokomea wakati wa utawala wa serikali ya Awamu ya Nne

    Ndoto ya jiji la Dar es salaam kuwa na jengo refu zaidi la ghorofa 40 ilivyotokomezwa na utawala wa serikali ya awamu ya nne:- Hii ni kufuatia chapisho lililoandikwa na Martin Maranja Masese katika ukurasa wake wa mtandao wa X unaozungumzia taarifa kuhusiana na uliokuwa mpango wa ujenzi wa...
  14. Undava King

    Chanzo cha Mungu ni kipi kulingana na maandiko ya kale ya Misri

    Katika kitabu kilichoandikwa na Sir Ernest Alfred Wallis Budge "Legends of the Gods" tunapata simulizi nzuri ya miungu ya kimisri ambayo inatupatia mwangaza kidogo katika hili la chanzo cha Mungu kulingana na kwamba hadithi hizi zimekuwapo miaka maelfu kabla ya ujio wa maandiko ya dini za kileo...
  15. Undava King

    Je, ni halali hatima ya maisha yetu kuamuliwa na miungu?

    Kila mmoja na ajiulize swali hili kwa dhati yake tokea moyoni; je ni halali kupangiwa maisha yako na kiumbe mwingine asiye wewe tokea kuzaliwa kwako mpaka kifo na kama haitoshi mpaka na adhabu pia juu ya matendo yako aamue yeye? Kuna watu wameumbiwa shida na mateso yasiyo mithilika na taabu za...
  16. Undava King

    ALLIANCE GLOBAL: Kampuni ya kitapeli inayoendelea kuliza wasomi wengi nchini

    "Kama kuna jambo linauma basi ni kuteketeza karo shuleni kumsomesha mwanao kisha wajanja wachache watumie nafasi hiyo hiyo ya usomi wake kukutapeli kama mzazi kwa kigezo cha kumpatia ajira" Nikiwa njiani kuelekea mjini kwenye miangaiko pembeni yangu (kwenye daladala) kaketi dada mmoja...
  17. Undava King

    Je, wajua nini kuhusiana na nadharia ya uwepo wa Jua la Kiroho?

    Kwa mujibu wa mwongozo wa kiroho wa madhehebu ya kipagani daima huamini kuwa mfumo wa jua ni taswira ya mfano wa babu kizee mwenye ndevu nyeupe "The grand Man" Na katika fikra zao walijiumbia analojia ya vitu vitatu vya maisha ya ndani ya mwili wa binadamu; Ubongo, Moyo na Mifumo ya Uzazi...
  18. Undava King

    Maonesho ya Nanenane jijini Mwanza ni kituko cha karne

    Kufuatia maadhimisho ya sherehe ya wakulima almaarufu Nanenane kufana nchini, nami nikapata wasaha wa kuzuru kunako viwanja vya sherehe hizo jijini Mwanza katika eneo la Nyamhongolo kushuhudia ni namna gani kuna mwamko wa wadau na walengwa(wakulima) pamoja na wananchi kiujumla kuhusiana na...
  19. Undava King

    SoC03 Ni namna gani serikali ifanye ili kukuza wigo wa ukusanyaji mapato

    1.KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO KUPITIA STENDI ZA MABASI Utaratibu wa stendi za mabasi uboreshwe katika maeneo yafuatayo:- A) Wenye mabasi mengi wapewe vipaumbele kwanza kwenye ugawaji wa vizimba na siyo maajenti; kumekuwa na sintofahamu katika ugawanyaji wa vizimba vya ukataji tiketi ambapo...
  20. Undava King

    SoC03 Wasomi wajengewe uwezo wa kushindana katika soko la ajira

    Soko la ajira hivi sasa ulimwenguni kote linakabiliwa na ushindani mkubwa, kwani nafasi ni chache na wenye uhitaji ni wengi. Tanzania kama zilivyo nchi nyingi duniani tunakabiliwa na tatizo la ajira kwa watu wetu hasa vijana ambao ni kundi kubwa zaidi na zalishi linalounda idadi ya watu wetu...
Back
Top Bottom