Swali ni je, hivyo vyakula vinaliwa Tanzania au vinaliwa katika nchi ya kigeni pekee yake?
Na kama ni kweli unakula vyakula hivyo kila siku au kila mara (hata kama asili yake si katika nchi yako) mfano wali/pilau/viazi mviringo/tambi n.k
je haitoshi kusema kuwa vyakula vya namna hiyo vimekuwa...
Karibia vyote ulivyotaja nishavipost humu hivyo siyo kazi yangu kukutafutia, nina post zinaelekea kufika 2k na picha ambazo sijui idadi yake hivyo ni juu yako mwenyewe kuenjoy kuperuzi na utajua sikufungi kamba bali kila unacho-assume hakipo kipo humu kuna kimoro,kichuri, vyakula vya...
Kumbe wakuja kwenye uzi huu, wakongwe hawawezi kubishana kama hivi kidogo nishangae, hivyo vyote unavyoviongelea karibia vyote vimepostiwa humu tena kwa kubainisha mikoa na makabila na vyakula vyao na hamna kipya unachokifikiria akijawahi fanyika unachotakiwa kufanya ni kuchukua muda wako...
Ni rahisi tu, taja hivyo vyakula unavyohisi ni asili yetu na havijawai kupostiwa humu na pia ubandike na picha zake humu na kama uwezi kufanya hivyo..jua huna haki yeyote ya kunipangia cha kupost ikiwa mwenyewe huna mchango wowote kwenye uzi huu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.