Search results

  1. Kitila Mkumbo

    A Dissertation/Research Project Report Writing Training Workshop 2014

    Karibuni!! Central Line Research Associates (CELIRA) Announces A Dissertation/Research Project Report Writing Training Workshop 2014 Target Audience: Postgraduate students in higher education institutions, including master's and PhD students. Dates...
  2. Kitila Mkumbo

    Kukataa Serikali tatu ni kuikataa Rasimu nzima. Je, wabunge wana uhalali wa kukataa rasimu?

    Msingi wa Rasimu ya Katiba ni muundo wa Muungano. Wabunge wakikataa muundo wa muungano unaopendekezwa Rasimu hii inakufa kwa sababu karibu ibara zingine zote zimewekwa kwa kuzingatia muundo huu wa muungano. Kwa kifupi kukataa muundo wa muungano unaopendekezwa ni kuikataa rasimu yenyewe. Swali...
  3. Kitila Mkumbo

    How 'good' is the performance in the 2013 Certificate of Secondary Education Examinations?

    There has been a serious contention regarding the authenticity of the recently announced 2013 Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) results. While the Government and NECTA officials unanimously pronounce that the performance rate in the 2013 results has improved significantly by...
  4. Kitila Mkumbo

    ...CCM is stabilising, CHADEMA is shrinking and CUF is disappearing!

    My verdict of the 27 ward by-election results: CCM is stabilising, CHADEMA is shrinking and CUF is disappearing Dr Kitila Mkumbo In November 2012 I wrote an article entailing my assessment of the outcome of the council by-elections in 29 wards across the country. The article was published in...
  5. Kitila Mkumbo

    My wild guess: the three-tier government union structure proposal will be shot down

    My wild guess: the three-tier government union structure proposal will be shot down in the Constituent Assembly Dr Kitila Mkumbo As in sports, the outcome of politics, and democracy in particular, is determined quantitatively, not qualitatively. It is the numerical strength that matters the...
  6. Kitila Mkumbo

    How influential is JamiiForums in Tanzanian politics and public life in general?

    I was reading an article on the political economy of Tanzania, which discusses a number of issues including the state of CCM and opposition in the country. One of the issues that is extensively covered in this article is the role played by the media in the promotion of democracy. Notably...
  7. Kitila Mkumbo

    More of the same: A comparison of the actual and politically standardised results of the National Fo

    Here is my re-analysis of F4 results, comparing the actual results vs. politically standardised one. Happy reading...
  8. Kitila Mkumbo

    Athari za Matokeo ya Kidato cha IV 2012: Vyuo Vingi Kukosa Wanafunzi wa Kudahil

    Athari ya haraka kabisa ya matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka huu ni shule na vyuo kuanza kukosa wanafunzi wa kudahili. Nifuatilie kwenye makala hii (imeambatanishwa). Kama ilivyotarajiwa, idadi kubwa ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato channe mwaka jana wamefeli. Kati ya wanafunzi...
  9. Kitila Mkumbo

    DUCE Introduces a Postgraduate Diploma in Education (PGDE) Evening Programme

    Comrades and colleagues, Here is the opportunity to develop a career in the teaching profession in a flexible manner. You will study while continuing with your work, without interruption. Read more below. Karibuni sana...
  10. Kitila Mkumbo

    Bradley effect in us presidential polls

    Could the poll results we are seeing an outcome of Bradley effect and therefore not depicting the true voter intentions? We will know by Wednesday
  11. Kitila Mkumbo

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Hadi dakika hii matokeo yanaonyesha kwamba katika Kata 29, CHADEMA wameshinda katika kata 5 and TLP (1) na CCM kushinda katika kata zilizobaki. Kwa muono wa karibu unaweza ukadhani kwamba CHADEMA wamepoteza sana katika uchaguzi huu. Hata hivyo ukiyachunguza matokeo haya kwa ukaribu utaona...
  12. Kitila Mkumbo

    Karibuni Kwenye Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere-Jumapili 14 Oktoba-Nkrumah

    UDASA & ITV Wanawaletea Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Mwalimu Nyerere Mada Kuu: 'Nini Jukumu la Kihistoria la Vijana Tanzania katika Kumuenzi Mwalimu Nyerere? Tarehe: Jumapili 14 Oktoba 2012 Muda: Saa 8.00 mchana hadi Saa 11.30 jioni(2.00pm-5.30pm) Ukumbi: Nkrumah, Chuo Kikuu...
  13. Kitila Mkumbo

    When JF becomes source of information for BBC-It is encouraging!

    I have just been reading the BBC coverage of Kanumba's death. I was pleased to see that they used JF's photo in their coverage. See BBC News - Kanumba funeral: Thousands mourn Tanzanian actor
  14. Kitila Mkumbo

    Bunge Lijadili Hoja ya Dharura kuhusu Mgomo wa Madaktari

    Nchi yetu ipo katika hali ya dharura kutokana na kutaabika kwa wagonjwa mahospitalini bila msaada kufuatia mgomo unaoendelea wa madaktari. Itakuwa ni aibu kwa Bunge kuanza kikao chake leo kama vile mambo ni kama kawaida. Hata wabunge wenye hoja binafsi wangeziweka pembeni kwanza ili mojawao...
  15. Kitila Mkumbo

    CCM ya Nape ni nadharia

    Niliwahi kuandika haya hapa chini kwenye moja ya magazeti hapa nchini. Japokuwa malengo yalikuwa tofauti kidogo kipindi hicho, maudhui yake bado yanasimama. Nape ameanza kupambana na CCM muda kidogo na naona style yake haijabadilika, jambo linalomfanya aonekana 'odd out'. Wakati ule alishindwa...
  16. Kitila Mkumbo

    Kongamano la Pili la Katiba: Jumamosi, 02 Aprili 2011

    Jumuiya ya Wanataaluma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) imeandaa Kongamano la Pili la Katiba litakalofanyika katika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siku ya Jumamosi, tarehe 02 Aprili 2011 kuanzia saa 4 asubuhi. Mada kuu katika kongamano hili ni: Maudhui na Misingi ya Katiba...
  17. Kitila Mkumbo

    Game Theory, FMESS

    Hawa walikuwa miongoni mwa Selebreti wakubwa wa JF, Wako wapi? Binafsi nime miss sana michango yako. Kama mmebadilisha majina, naombeni mni PM pse. Kitila
  18. Kitila Mkumbo

    Yaliyojiri: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah UDSM

    Tunapenda kuwataarifu wananchi ambao hawataweza kufika CKD kuwa kongamano la katiba kesho litaonyeshwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha ITV. Tunawashukuru sana ITV kwa moyo wa uzalendo. Karibuni Kitila
  19. Kitila Mkumbo

    Tangazo: Kongamano la Katiba: 15 Januari 2011 Nkrumah

    UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM Academic Staff Assembly JUMUIYA YA WANATAALUMA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDASA) inawaletea: KONGAMANO LA KATIBA MADA KUU: MCHAKATO NA MAUDHUI YA KATIBA MPYA WAZUNGUMZAJI WAKUU: 1. PROFESA ISSA SHIVJI 2...
  20. Kitila Mkumbo

    Majina ya Waliopendekezwa Viti Maalum na hoja za Leticia Musore

    Tatizo la huyu mama yetu alikariri kwamba yeye lazima ilikuwa awe mbunge wa viti maalumu kwa sababu tu alikuwa mwenyekiti wa BAWACHA kitaifa. Bahati mbaya kwake ni kwamba hatukuwa na kigezo specific cha kumlenga mwenyekiti wa bawacha au kiongozi yeyote mwingine. Katika vigezo tulivyotumia yeye...
Back
Top Bottom