Haina haja hiyo biashara inafanywa kwa miaka mingi wanamwaga baharini na Kuna visima vya serikalin unlipiaukimwaga u hafu kma unataka kata leseni nunua tu mgari ya kunyonya uchfu seh za kumwaga zipo
Nunua hydrogen peroxide au nenda duka la dawa waambie unataka dawa kwa ajili ya mtu anayenuka mdomo inauzwa 1500 mpe mwambie sukutua na hii Karla hunapiga mswaki mdomo una harufu mbaya me mke want Kuna kipindi ilitokea hivyo nkamnunulia dawa na nikamchana alifurahi hakumind
Eneo Lina ukubwa was metre 35 kwa 40 ni nusu heka lipo pembeni kidogo ya mji na linafaa kwa petrol station, yard au godown Bei ni mill 20 njoo dm kwa namba
Lipo karibu na sehemu iliyoandikwa chekelei
Walete watu wapya Kuna kina Abdallah Safari Mabere marando akina MALISA GJ japokua sijaelewa Kama bado hajafikisha 41 wapo watu wengi sana wazuri tusirudie rudie watu
Kwa wakazi wa Moshi Arusha fanyiwa wiring ya nyumba shule ukumbi wako kwa Bei rahisi
Tuna mafundi wanaoweza kufanya kazi kwa uaminifu usalama na haraka tuna leseni ya kufanya kazi za umeme ni wewe tu kutupigia happy 0623799310
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.