Search results

  1. Innocent Kirumbuyo

    Wanachofanyiwa wamasai siyo sawa

    Juzi niliona video wamasai wakizozana na watu wanaosemekana ni polisi huko Zanzibar mwisho wa siku ilitokea kutokuelewana wakaanza kushambuliana Baada ya ile video viongozi wakachukuwa hatua Hapo ndio inadhiirisha tunaongoza na viongoz wenye akili ndogo na mihemko mingi wakurupukaji...
  2. Innocent Kirumbuyo

    SoC03 Uwajibikaji kama kijana kwenye biashara ya viatu jinsi navyoenda kutimiza ndoto zangu

    Hello kwa miaka mitatu nipo hapa na niye nikiwapa vijana wenzangu ndugu zangu ABC za biashara ya viatu Makala namba 1 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/36816184 Makala namba 2 https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/40262713 Makala namba...
  3. Innocent Kirumbuyo

    SoC02 Jamiiforums shule ya bure iliyonipa mafanikio

    Hello Kwa majina naitwa Innocent Kirumbuyo. Ilo ndilo jina langu nililopewa na baba yangu mzazi mwalimu wilifred kirumbuyo na mama yangu Benedetha Beda masawe Elimu yangu ni kidato cha nne Nimehitimu shule ya sekondari Siha sec mwaka 2012 Ok Tuende kwenye mada moja kwa moja. Nikiri...
  4. Innocent Kirumbuyo

    SoC02 Jinsi biashara ya viatu inavyonitoa mavumbini

    Hello Mimi ni ndugu yenu innocent kirumbuyo kwa miaka miwili nimekuwa nikiweka story biashara ya viatu 1) Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha 2) Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba Nafarijika sana kwa kupokea maoni mengi na mawazo jinsi watu walivyo badili mitazamo yao na maisha...
  5. Innocent Kirumbuyo

    Kati ya wayuhudi na wapalestina nani aikalie Palestina

    KWA miaka mingi sana dunia inaendelea kushuhudia vita kati ya wayahudi na wapalestina huko mashariki ya kati wakigombea nchi inayoitwa Palestina. Vita hii inabeba dhana ya kidini zaidi kuliko kisiasa, ina historia ndefu na Ikumbukwe kwamba eneo hili ni chimbuko la dini kuu tatu za dunia...
  6. Innocent Kirumbuyo

    Utajiri uliojificha kwenye viatu vya mtumba

    Hello Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1790275/ Kwa kweli nawashukuru sana mlipokea ile biashara kwa mikono miwili na watu walinipongeza sana wengine kupitia ule uzi...
  7. Innocent Kirumbuyo

    Kitabu cha Makosa 3 ya maisha yangu

    MAKOSA 3 YA MAISHA YANGU -na Chetan Bhagat MUHTASARI Makosa 3 ya Maisha Yangu yanazunguka Govind, Omi, na Ishaan. Ingawa wana haiba tofauti, mapenzi yao kwa kriketi huwaunganisha. Wanaamua kuanzisha duka linalouza vitu vinavyohusiana na kriketi. Baba ya Omi ni kuhani hekaluni, na ana ushawishi...
  8. Innocent Kirumbuyo

    Nukuu mbalimbali toka kwenye kitabu "Eat That Frog"

    Kila mwanzo wa chapter ya kitabu hiki kuna nukuu kutoka kwa watu mashuhuri. Mi binafsi ninazipenda sana, zimebeba maarifa muhimu sana. Nukuu hizi ni Kama; #"The first request for success is the ability to apply physical and mental energies to one problem incessantly without growing weary".-...
  9. Innocent Kirumbuyo

    Manyanyaso yanayofanywa na ofisi ya Elimu ya Msingi katika Halmashauri ya Meru dhidi ya walimu

    Kwa majina naitwa mwalimu Walter Wilifred Munuo. Ni mwalimu katika shule ya msingi kwenye halimashauri ya Meru. Naleta kilio changu nikiomba msaada kwa katibu wa elimu kwa manyanyaso yanayofanywa na ofisi hii chini ya afisa wa elimu Bw MARCUS K. NAZI ni ya uonevu mkubwa. Mimi binafsi Mwalimu...
  10. Innocent Kirumbuyo

    Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

    Najua watanzania wengi mnapenda sana kusoma vitabu . Shida iliyopo kubwa watanzania wengi lugha ya kingereza inatupa shida. Sasa hiyo shida imekwisha kama utafanikiwa kuona huu uzi leo kwasababu ata ukiwa unajua lugha ya kiswahili tu utasoma kitabu chochote unachotaka kwa lugha ya kiswahili na...
  11. Innocent Kirumbuyo

    Je, ushawahi kuhisi kwamba una mlima wa kupanda kila kunapokucha?

    Je, ushawahi kuhisi kwamba una mlima wa kupanda kila kunapokucha? Kuna wakati ambao unazongwa na mitihani ya maisha kiasi cha kuhisi unapanda mlima kila siku, na kila asubuhi unapoamka, mlima ule bado uko pale pale unakukodolea macho. Je, ni changamoto gani maishani ambayo umepitia na kuhisi...
  12. Innocent Kirumbuyo

    Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
  13. Innocent Kirumbuyo

    Niulize chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume

    Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa imara zaidi ya jana. Ok Tuingie kwenye mada moja kwa moja Pengine ulishatamani sana kufanya...
  14. Innocent Kirumbuyo

    INAUZWA Viatu na sandals vya bei nzuri. Napatikana Mwanza karibu sana

    Sandal nzuri kwa 18000 tu Napatikana mwanza mjini Karibu Sana kwa mawasiliano zaidi @0768480963
  15. Innocent Kirumbuyo

    Hili kwa Tanzania haliwezekani, huyu binti angechinjwa

    Binti abadili dini kutoka uislamu kuingia ukristo huko nchini Uganda kumfuata mchumba wake ambapo baba yake ambaye ni Shekh mkubwa tu alimsindikiza kanisani kumtoa (giving away) ili aolewe na mwanaume wa maisha yake aliyemchagua. Familia nzima ilishiriki ndoa hiyo mwanzo mwisho kwa furaha...
  16. Innocent Kirumbuyo

    Zitto: Nitawaandikia barua wakuu wa nchi za SADC na EAC kumwajibisha Rais Magufuli kwa kumtaka afuate hatua za kisayansi ktk kukabiliana na COVID19

    Kama kiongozi wa ACTWazalendo, nitawaandikia barua wakuu wote wa nchi za SADC na EAC na Makatibu Wakuu wa Jumuiya hizo kuwaomba kuitisha mkutano maalum wa jumuiya hizo, na kumwajibisha Rais Magufuli kwa kumtaka afuate hatua za kisayansi ktk kukabiliana na COVID19
  17. Innocent Kirumbuyo

    Tulipokea huduma ya kuwekea mikono wagonjwa na kuponya

    Ni katika ufufuo wa Kristo kila mwamini alipokea Uweza huu umemkalia kila mwamini Kupokea taarifa zisizokuwa sahihi kumefanya waamini wengi wawe watumwa. Taarifa hizo huwaambia ni watu fulani maalumu ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo Hizo taarifa ndio zimeloga waamini wengi Hatukupokea...
  18. Innocent Kirumbuyo

    Miaka mitatu bila wewe baba yangu

    Hatuwezi kuishi Duniani milele. Kila Mwanadamu siku zake zinahesabika. Kila Tupatapo Taarifa za Kifo cha Mwingine,Tutumie fursa hiyo kujikagua na kukumbuka kwake Mola tulitoka na Siku Moja tutatwaliwa kwa kuwa hapa Duniani tupo kwa muda mfupi tu na sio makazi yetu ya Kudumu. Mwl Kirumbuyo...
  19. Innocent Kirumbuyo

    Chunguza dhamira yako

    #unataka kutumika! Unataka kuhudumu, unataka kuhubiri, kuongoza watu... naam, kuwafundisha! Well, ni jambo jema! Lakini, nini kinakusukuma kufanya hivyo? Ni utukufu na heshima kama ulivyoona watumishi wakiadhimishwa sana kwenye TV? Ni ili na wewe umiliki magari makali kama Prophet fulani...
  20. Innocent Kirumbuyo

    Kadiri Unavyojifunza Ibilisi Na Mambo YAKE, Ndivyo unavyozidi Kufanana Naye.

    Kuna mitazamo lazima ife kwa wahubiri, Unawaambia watu waache dhambi na watubu kwa kumaanisha. Je, msamaha wa dhambi ni kitendo cha kufanya au ni zawadi tunapokea? Unawaambia watu wampe Yesu maisha yao. Je, huyu mtu unayemwambia atoe maisha yake kwa Yesu, ana maisha gani ya kutoa kwa Yesu...
Back
Top Bottom