Search results

  1. Dr. Said

    Biashara Yangu Inataka Kufilisika

    Hello wadau, Baada ya kujaribu kuboresha huduma zetu na ku introduce mfumo mpya wa mauzo, wateja wamepungua maradufu, jambo linalohatarisha uhai wa biashara yetu. Nimeelezea kwa kuonyesha mfumo wetu wa zamani na mpya na plan niliyonayo kuihuisha biashara yangu katika video hapa chini. Naomba...
  2. Dr. Said

    Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja

    Nikikwambia kuwa unaweza kumiliki mashine yenye uwezo wa kukuletea wateja kwenye biashara yako utaniamini? Wateja wenye pesa mkononi tayari kununua bidhaa/huduma unazotoa? Wengi nikiwaambia hili jambo nyuso zao zinakunjika kwa mshangao na kuona kama jambo lisilowezekana kabisa. Wakati...
  3. Dr. Said

    Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida. Muda wote huna...
  4. Dr. Said

    Pata Wazo Zuri la Biashara ya Mtandaoni Kwa Kufuata Formula Hii

    Hello wanajamii, Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara. Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk Enjoy. Kama una...
  5. Dr. Said

    Jinsi Ya Kutumia Formula ya AIDA Kuandika Matangazo Yenye Kunasa Wateja

    Kama wewe ni mjasiriamali unayehangaika kupata wateja kupitia matangazo yako basi formula hii ya AIDA itakupa mafanikio makubwa katika matangazo yako kuliko formula nyengine yoyote. Lakini kabla ya kuangalia fomula hiyo kwanza ningependa niongelee aina za matangazo. Kuna aina mbili kubwa za...
  6. Dr. Said

    Jinsi ya kudhibiti msongo wa mawazo katika biashara yako

    Watu wengi ambao hawajazama ndani ya biashara wana picha fulani ya kwamba biashara au ujasiriamali ni sehemu bora ya wao kuwepo. Kwa wengine inaweza kuwa sehemu nzuri kuwepo lakini wengi wanahangaika katika biashara mpaka wengine wanajikuta wanataka kuutoa uhai wao kabisa. Hilo linatokana na...
  7. Dr. Said

    Makosa 5 Wajasiriamali Wanafanya Katika Mtandao wa Facebook na Instagram

    Kama wewe ni mjasiriamali unayetafuta wateja kupitia mtandao wa Facebook na Instagram lakini unahangaika basi inawezekana unafanya makosa yafuatayo: Unatangaza bidhaa / huduma unazotoa: Mitandao ya kijamii (tofauti na e-commerce) hayakutengenezwa kwa ajili ya watumiaji kununua bidhaa / huduma...
  8. Dr. Said

    Uliza swali lolote kuhusu jinsi ya kutumia mtandao kupata wateja!

    Hi, Mimi naitwa Dr. Said Said na ni mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni inayowasaidia wajasiriamali kama wewe kuweza kunasa wateja kama smaku kupitia mtandao. Kama unabiashara na unahangaika kupata wateja kutumia mtandao wa intaneti basi nakukaribisha uniulize swali lolote na mimi...
Back
Top Bottom