Ukisikia uchawi ndo huu sasa. Ina maana unaomba hiyo balaa itufikie na siye? Huo ugonjwa huwa haumpi nafasi ya mtu kusafiri nao mbali, huwa unamaliza biashara mapema!
Shida na kwa upande wa watoa huduma ipo, wanaweza kukupa dawa ya India lakini mfuko wa NHIF ukadaiwa bei ya dawa ya ujerumani. Mungu tuokoe waja wako kwani mboga na ugali vyote vya moto!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.