Hii issue ishakuwa ngumu kwa Netanyau mambo kama haya nchi inatakiwa kuwa na umoja, wanasiasa vigeugeu pamoja na wananchi wanafiki wachache wanamkwamisha kwenye majukumu yake kama vipi aondoe majeshi Gaza baadae watamkumbuka maana hao wapuuzi wa Hamas wasipomalizwa kamwe hawatoacha kurusha...
Kwan wapi niliposhangaa mkuu? Mm nimekupa hongera tu binafsi Sina uwezo huo maana kipato changu chenyewe kwa mwezi hakifikii huko ni kweli umaskini sio kitu kizuri na hakuna anayeupenda.
PHD za shukrani kwa kuwauzia nchi, unauza bandari alafu unarudi kwa wananchi kuendelea kuwakamua zaidi tozo Kila sehemu nasikia Kuna tozo ya Kila lakini ya simu na vingamuzi inakuja.
Kabisa, silaha walizokuwa wanapewa hawakuruhusiwa kushambulia ndani ya Urusi ila zile wanazotengeneza wenyewe Ukraine ndio zilikuwa zikihusika kushambulia baadhi ya sehemu kama Crimea na Belgorod
Kwahiyo Kila kitu wanachokisema unataka na sisi wenye akili zetu timamu tuwaamini? Mbona mwanzo walikuwa wanatoka taarifa ya mashambulizi Yao na video wanatuonyesha kulikoni siku za hivi karibuni?
Hatufanani uwezo wa kufikiri ww na kobaz wenzako endeleeni kuamini.
Hapo kwenye kulala na mchezaji wa video za ngono sijaelewa, Ina maana jamaa alifanya haya akiwa Raisi? Imekuwaje mtu mwenye mkwanja kama Trump anarlenda kulala na pornstar?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.