🌟 Seeking Credible Company or Individual for Printing College Certificates 🌟
Are you a reputable company or individual with a proven track record in printing academic certificates? We are in need of your services!
Requirements:
1. Demonstrated experience in printing official academic...
habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN.
Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
Is MacBook Pro retina inch 15.5, ssd 512, core i7, processor 3.1ghz, ram 16gb still better in 2023 environment.
Ushauli wadau wa MacBook ya mwaka 2015. Kwa matumizi ya ofisi itafaa.
Habarini wadau.
Nimeombwa ushauri na mdau wangu, anayo taasisi ya elimu inayotoa kozi mbili. ameniomba ushauri kua katika taasisi yake anataka kuongeza kozi za kilimo na mifugo, na kozi nyingine za kawaida.
Je, kwa soko la sasa au kibiashala ni kozi zipi zene soko kwa sasa kwa ngazi ya...
Hellow habari zenu wadau natumaini mpo salama. Nina mdogo wangu mwaka wa pili (HUMAN RESOURCE MANAGEMENT) mwezi wa Saba anatakiwa aanze field na katika maombi yake amebahatika kupata CRDB branch, OFISI YA RAS na MANISPAA, je sehemu ipi ni bora na sahihi kwake kufanya field kati ya hizo sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.