UTANGULIZI:
Elimu ni ujuzi, maarifa au utaalamu anaopata mtu kutoka kwa mtu, mashine au uzoefu kutoka katika mazingira aliyopitia.
Hata hivyo elimu inaweza kuwa Rasmi au isiyo rasmi. Elimu rasmi ni aina ya elimu inayohusisha usajili wa wanafunzi na kuwaweka darasani kwaajili ya kujifunza kwa...
#Storyofchange2023
Mwandishi: Wa Kale
Mawasiliano,
Email: officialmapatotz@gmail.com
Simu: +255745922142
Utangulizi: Katiba naweza kusema, ni taratibu, miongozo, kanuni na sharia zinazotumika katika utekelezaji sahihi wa majukumu mbalimbali katika maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Ikiwa...
Katika jamii zetu yapo makundi Mbalimbali ambayo yanakumbwa na unyanyasaji, Ubaguzi pamoja na ukatili. Licha ya kuwa wapo watu wengi ambao wankumbwa na hali hiyo ila nitajikita katika makundi maalumu. Makundi hayo yapo katika mgawanyo huu:
Makundi haya kila kundi linachangamoto yake na...
Naita furaha ya maiti kwakua sasa jamii iliyoumia na kukaa kiunyonge kwa miaka mingi inafurahia namna mpya ya maisha yasiyo ya vitisho lakini ukweli ukibaki palepale kuwa bado jeneza na kaburi ni lilelie ila sanda pekee ndiyo imebadilishwa.
=> Kwanini makato ya miamala yaongezeke
=> Kwanini...
"Sukuma Ndani" Hii kauli naikumbuka kila ninapoangalia Jinsi ambavyo Viongozi Wa Upinzani na Wanaharakati Wa Tanzania Wanavyo Sota kila Wiki ndani Ya Siku Saba (7).
Utakuwa ni Mgeni wa Siasa kama Hujui kinacho wakuta Wapinzani Nchini Tanzania.
Kinachoniuma ni hii ya "Siku Saba Kuzimu"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.