Search results

  1. J

    Nimetoka Posta na TRA, nawashauri msiagize mizigo kwa njia ya posta. Ni hatari

    Jumamosi nilipokea meseji kutoka posta ikisomeka "Jumamosi njoo Posta ya Geita na kitambulisho chako". Nikajua mzigo wangu kutoka mjini AliExpress utakuwa tayari umeshawasili nikahesabu siku hatimae leo asubuhi nikaelekea POSTA. Ile tu nafika nikapewa kikaratasi nikaelekezwa niende ofisi za...
  2. J

    NEMC, Wizara ya Muungano na Mazingira ni wazi wameshindwa kudhiti uharibifu wa mazingira

    Kama umezaliwa kijijini kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma hebu jaribu kuvuta picha ya mazingira nyuma(mito, milima, mapori) jinsi yalivyokuwa then linganisha na leo ndio utaweza kukielewa ninachoenda kuzungumzia. Nimezunguka sehemu nyingi za nchi hii kutoka kaskazini, mpaka kusini kanda ya kati...
  3. J

    Wizara ya Madini na mfumo wa leseni kwa wachimbaji wadogo unavyoneemesha wachache na kukamua mitaji ya wanyonge

    Maeneo mengi ya uchimbaji yanamilikiwa na watu wanaojulikana ndio wenye leseni za uchimbaji kwa eneo husika... Hii njia ni ya kinyonyaji na inaneemesha wachache wenye connection na wakubwa ndio maana nahisi haipigiwi kelele sana maana inaowaumiza ni wale wasio na sauti. IKO HIVI Ifahamike...
  4. J

    Connection problem or invalid MMI code ANAEJUA HILI TATIZO KWENYE SIMU ZA LG ANISAIDIE

    Kuna simu LG velvet ni mpya nilichukua AE, simu ni toleo la Korea T-Mobile Iko unlocked kwa mtandao wowote shida ukitaka kuunga kifurushi mfano upige *149*01# ujumbe unaokuja ni kama huo hapo kwenye picha na heading!
  5. J

    Toyota Premio 2012

    Wakuu wasalaam! Natarajia kuagiza hili gari hivi karibuni kama mambo yatakaa sawa! Bei zake nakuta ziko juu kidgo kuanzia 9M hadi 15M kwa site ya befoward kabla ya kodi ya tra. Naombeni ushauri na mapendekezo mbadala kama kuna other option inaweza kuwa bora zaidi ya hii isiyozidi 25M Kwenye...
  6. J

    One Plus 8 vs Oppo reno 5pro+ 5G chaguo lipi ni sahihi?

    Nahitaji nichukue mojawapo kati ya hizi simu kwenu wakongwe wa gadgets ipi itakuwa njema kwa vigezo hivi... 1-Battery backup 2-Camera 3-premium look 4-display Mapendekezo pia kama kutakuwa na chaguo bora zaidi ya hayo kwa bajeti isiyozidi 1.2M
  7. J

    Mheshimiwa Biteko na Wizara ya madini huu ni upigaji au ndio kodi halali kwenye dhahabu?!

    Kwenye pilika za kusaka maisha nimejikuta najiingiza kwenye shughuli za uchimbaji wa dhahabu huku Mkoa wa Geita wilaya ya Nyang'whale kwenye machimbo ya Igalula sio mbali sana kutoka yalipo makao makuu ya wilaya hii Kharumwa Kinachonipa shida ni taratibu na mrundikano wa kodi zilizoko mlimani...
  8. J

    Lenovo Thinkpad ya kununua inahitajika

    Nahitaji PC tajwa hapo juu kwa yeyote anaeuza >Ofa yangu ni 400,000tsh >Isiwe na betri mbovu >Iwe angalau core i 5 >Kuanzia generation ya 5 n kuendelea CONTACT: 0756908809 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom