Search results

  1. dimaa

    Soko la ufuta likoje kwenye mkoa uliko?

    Amani iwe kwenu, Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi. Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
  2. dimaa

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Kwenu wakuu. Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media. Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale Radio Free Africa, miaka ya 2000's. Mwenye hata picha tu atusaidie, tumuone ambao hatujawahi kumuona.
  3. dimaa

    Msaada; namna ya kupata trekta za mtumba aina ya Massey Ferguson 165.

    Salamu kwenu, Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti mipango ya kuipata pesa. Shukrani kwenu.
  4. dimaa

    Kati ya Nifah na The Bold, yupi aliyemuacha mwenzake?

    Kwenu; Mapenzi ni ishu mtambuka, siku roho inapoumizwa ndo utajua dunia ilivyo. Siku hiyo utaona kila kitu kinakuelemea, dunia yote ni chungu, ni kama umefiwa vile, ni upweke ulioje. Maono yangu, kama ni mwanamke ameachwa ni hasara kubwa sana, tufanye mfano ametumika tokea akiwa binti mbichi...
  5. dimaa

    Harakati za Mawinga wa kariakoo na ghadhabu wa wateja

    Habari zenu. Nilifika kariakoo kwa lengo la kutafuta spea za pikipiki yangu aina ya tvs na baadhi ya vifaa vya electronics. Lililonifedhehesha ni hili, nilikuwa na shida na ''Tv Guard'', nikaanzia mtaa wa congo kuulizia bei. Huku nikiwa nafahamu bei yake, nami bajeti yangu ilikuwa bei yake...
  6. dimaa

    Mrejesho; Kati ya bajaj na trekta kipi kitega uchumi kizuri

    Alhamndullillah, Nilileta uzi wa kuomba ushauri humu, kipi kitega uchumi kizuri kati ya bajaj na trekta. Wadau walitoa maoni yao, kila mmoja alishauri kwa namna alivyoelewa, ila wengi walinishauri nichukue bajaj. Wakuu nawashukuru sana kwa maoni yenu kwani nyie ni watu wa nguvu sana, Mungu...
  7. dimaa

    Nina solar panel watts 100, betri N75 na charge control lakini inashindwa kusukuma screen inch 55', shida nini wakuu?

    Salute, Nina solar panel watts 100, betri N75 charger control na inverter, changamoto ni kwamba inasukuma tv inch 55' , speaker watts 30,000 na kipaza sauti kwa dakika 5- 10 tu. Shida ni nini wakuu? Ushauri wenu tafadhali.
  8. dimaa

    Kwanini wachawi hawapeleki chuma ulete benki?

    Alhamndulillah, Suala la uchawi tunaambiwa lipo, habari za chuma ulete nafikiri zipo na zishawatokea watu wengi tu. Kama kweli uchawi upo, wachawi wanashindwaje kuloga ili wakaibe pesa kwenye mabenki? Tujadili.
  9. dimaa

    Njooni tushare ideas, kati ya kununua trekta au bajaji kipi ni kitega uchumi kizuri?

    Amani ya allah iwe juu yenu. Katika harakati za maisha, watu wanapambana sana ili kuona wanajikwamuaje katika dimbi la umaskini. Kila mtu kuna kitu anafikiri ni bora zaidi akikiweka kwenye kitega uchumi, basi kitampatia mafanikio mazuri. Basi nami niko kwenye tafakuri kubwa, kati ya trekta na...
  10. dimaa

    Mwenye ng'ombe wa kisasa jike wa maziwa, tufanye biashara, anahitajika maeneo ya kondoa. Napendelea iwe karibu na kondoa.

    Za mida. Mwenye ng'ombe wa kisasa jike wa maziwa tufanye biashara, anahitajika maeneo ya kondoa. Nawasilisha.
  11. dimaa

    Jirani anafuga nguruwe wananikera sana, nifanyeje ili wafe?

    Natumai muwazima, Kuna jirani yangu hapa anafuga nguruwe, kwakweli hakuna wadudu ambao siwapendi kama nguruwe, kuwaona hata kuwaskia tu. Wana kero kweli kweli, usiku hayo makelele wanayopiga mtu huwezi pata hata usingizi. Kipindi cha mvua harufu ambayo huwa inatokea huwezi kula hata chakula...
  12. dimaa

    Yuko wapi Mabere Makubi, nguli wa habari?

    Salute, Huyu jamaa alikuwa ni mwamba wa kuripoti habari za matukio ya kina ITV, sijui kimetokea nini jamaa hadi leo haonekani. Namkubali sana huyu mwamba kwa taarifa za kina na zenye simanzi. Popote ulipo nakusalimu kwa jina la Muungano.
  13. dimaa

    Nauza tikiti maji kwa bei ya jumla, ni shamba la eka moja nusu

    Niko mkoa wa Simiyu, ni shamba la eka moja na nusu. Kwa wale wanaonunua shambani kwa bei ya jumla karibuni. Makisio ya tikiti ni kuanzia 1500 - 3000. Mawasiliano 0786382988, 0742366392.
  14. dimaa

    Uzi wa mtu alikwenda Matui - Kiteto-Manyara na kukodi trekta halafu akaelekea maeneo ya Pwani kwa shughuli za kilimo zaidi

    Amani iwe juu yenu Huu uzi kila nikiukumbuka hakika unanifikirisha sana, ni uzi wa jamaa mmoja ivi ambaye aliwaliza watu wengi kwenye forex, alikwenda Matui-Kiteto-Manyara kisha akakodi trekta afu akaelekea maeneo ya Pwani. Hakika kwa madai yake alitengeneza pesa za kutosha ndani ya mwezi...
  15. dimaa

    Lini na siku ya ijumaa itakuwa siku ya mapumziko?, Kama ilivyo jumamosi na jumapili.

    Eid Mubarak. Kwa kweli sijui ni nani aliasisi, jumamosi na jumapili kuwa siku za mapumziko?. Ukiangalia jumamosi ni siku ya ibada kwa wasabato, jumapili ni siku ya ibada kwa wakatoliki na madhehebu mengine. Siku ya ijumaa ambayo ni siku ya ibada kwa waislam imesahaulika. Tuwape wenzetu nao...
  16. dimaa

    Msaada; namna ya kupata TIN namba kwa njia ya mtandao.

    Husika na mada tajwa Kwa mwenye elimu hiyo anifundishe, Kwakuwa kila mtumishi / mwajiriwa ni lazima awe na hiyo TIN namba . Mwisho ni december 31 2020. Nawasilisha.
  17. dimaa

    Miaka 28 sina nyumba wala gari, roho inaniuma

    Husika na kichwa cha habari tajwa. Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 28 , roho inaniuma kuona similiki nyumba wala gari, kila nikiingia JF nahuzunika kuona majamaa yalivotusua in life. Mara nina nyumba 3, huyu 5, mara nina gari 4, huku mimi nikijiona mnyonge kweli kweli. Nimwajiriwa wa...
  18. dimaa

    Rais Magufuli ruhusu shule zifunguliwe, Corona ni ugonjwa endelevu

    Ni dhahiri shairi gonjwa la Corona halijapatiwa tiba wala chanjo, kwa mantiki kama hii inavyoonesha Corona si ya kuisha leo wala leo. Ruhusu programu za kielimu ziendelee, kwani inaonekana hili gonjwa tunaishi nalo kama magonjwa mengine. Kwakuwa kabla ya kufunga shule mgonjwa alikuwa mmoja hivi...
  19. dimaa

    Hivi na marais wa nchi zingine wamefanya kama alichokifanya Rais Magufuli?

    Siku yoyote ile huwezi ukakimbia kifo. Popote ulipo kinakufata, hata uwe kwenye mahandaki madhubuti kiasi gani,kifo kinakufata tu. Rais wetu kakimbia ikulu kuu, ni kwa sababu ya gonjwa la COVID-19, lakini nchi za wenzetu marais wapo ikulu kuu, na wapo ngangari. Kifo huwezi kukikimbia hata...
  20. dimaa

    2019 ilivyoondoka na watu maarufu.

    Tuko mwishonimwishoni mwa mwaka 2019. Ambapo tumepitia changamoto mbalimbali za kimaisha, wengine hali ikiwa ni Tete na wengine hali ikiwa si mbaya kiuchumi. Pamoja na serikali kujitahidi kuweka miundombinu ya nchi vizuri, mwaka 2019 tutaukumbuka kwa matukio tofautitofauti, yakiwemo...
Back
Top Bottom