Search results

  1. osieee

    CHADEMA kususia chaguzi ndogo ni kuwanyima haki wananchi na wanachama hai wa CHADEMA

    Wasaalam, jana kulikua kuna zoezi la chaguzi ndogo za madiwani katika kata mbalimbali zenye uhitaji huo wa kikatiba kwa wakati huu. Lakini Chadema kususia chaguzi hizi madhara yake yamekua yakionekana waziwazi kwan ,kampeni hazivutii hata kidogo tena na hata idadi ya watu wanaojitokeza kupiga...
  2. osieee

    Propaganda ya udini na ukabila kwenye suala la uwekezaji kwenye Bandari

    Habari za mida hii, nina imani nyote ni wazima kabisa. "ASIYEKUBALI UPINZANI WA MAWAZO NI PUNGUANI" JK NYERERE Moja kwa moja niende kwenye mada juu ya uwekezaji kwende bandari zetu. 1. Uwekezaji umechukua sura ya udini, walio wengi kuunga hoja mkono hata wale ambao siku zote hupinga inayafanya...
  3. osieee

    ushauri kwa jf na wadau wengine

    nashauri nyuzi (thread) zijipange kwenye jukwaa husika kulingana na mda iliopostiwa yani (time setting) ,nikimaanisha tusiangalie utaratibu wa watu kujihusisha kwa idadi kubwa.kwani kuna nyuzi zinapostiwa zinakosa mivuto kwa watu wengi kwa kua tu sio za kinafiki na kimbea na zinakua na logic...
  4. osieee

    Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara badala yake inainufaisha Arusha

    Wasaalam! Kwa fikra pana sana na hofu ya Mungu iliotukuka ningependa kulileta suala hili mbele yenu tulijadili kwa mapana zaidi bila ya chuki za ukanda wala ukabila. Kwanini mbuga ya Serengeti haiunufaishi mkoa wa Mara?
  5. osieee

    Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Wakuu habari za siku nyingi, Leo ninakuja na andiko kuhusu namna kilimo cha mbogamboga kinavyowanufaisha wakazi wa wilaya ya Lushoto na halmashauri zake. Wilaya ya Lushoto inapatikana katika safu za milima ya usambara ndani ya Mkoa wa Tanga, kwa asilimia kubwa wenyeji wa wilaya hii ni kabila...
  6. osieee

    Kuhamisha deni kutoka bayport kwenda nmb

    ndugu zangu habarini,mn ni mtumishi wa umma, ningependa kupata uzoefu kwa wale ambao walishagawai kopa kwenye taasisi zetu za kifedha then wakahamishia madeni yao benk kama vile nmb,naomba mnisaidie namna mchakato mzima ulivyo na hatua za kufuata susi eiluma mwene bhulili
  7. osieee

    uko wapi ukarimu uliotufundsha wanao baba

    hivi kumbe kula chakula cha pamoja na wegine sio utamaduni wetu tena ,basi baba ulitulea vbaya wanao,maana ulituambia wanao tuwe wakarimu na kila mgen au wagen wakija kwenye shughuli zetu bas tuwakarimu kwa chakula,malazi,na hata pombe na vngnevyo tutakavyoona vnamfurahsha mgeni wetu, tena...
  8. osieee

    Serikali iwatoze kodi mafundi ujenzi

    Umefika wakati muafaka sasa kwa serikali yetu kuanza kuchukua kodi kwa mafund ujenzi wote Tanzania maana hawa watu wanapiga hela ndefu sana na hakuna taasisi mahsusi kwa ajili ya upangaji bei za ujenzi ,for example wapo wanaojenga kwa siku analipwa 25-35. Serikali sasa iunde...
  9. osieee

    Sie sote ni wanao, usimpende tu huyo mwanao mkubwa

    Tunakukumbusha tu baba yetu mpendwa kuwa mbona unampendelea tu kijana wako mkubwa ilhali ulituambia kuwa sie sote ni sawa? Sasa iweje baba kila kitu umpe yeye ilhali hela ya kukutunza au matumizi sote tunatoa sawa na muda mwingine tunakugharamikia kuliko yeye? Tunakuomba sana baba yetu njoo...
Back
Top Bottom