Search results

  1. Paw

    My Birthday

    Desemba 02 ya kila mwaka ni tarehe ambayo miongoni mwa wengi waliozaliwa siku hiyo, basi mimi kamtu kadoogo kasiko na umuhimu sana nilizaliwa. Yes namshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, ameniongoza katika mengi ambayo leo nikigeuka nyuma siamini kama nilipita kule. Nakumbuka incident moja ambapo...
  2. Paw

    Uchaguzi Mkuu 2015

    JF imekuwa sehemu salama na sahihi kwa watu wengi wanaoitembelea kwa makusudio mbalimbali yakiwemo Kupata taarifa mbalimbali na hata kushirikisha jamii taarifa mbalimbali.... Pamoja na kwamba katika wengi hakukosekani mengi, lakini mara zote JF imekuwa mahala sahihi na chaguo la wengi. Neno...
  3. Paw

    Mpendwa wangu moyo

    Umepevuka na kuwanda kaka Midundo pu! pu! pu! pasichoka Mawazo yangu umeyapakata Hisia za mahaba kufichuka Utungu wa simanzi unakumbuka? Mchana damu wasukuma Usiku hukuacha kuvuma Mara nyingi nilikwama Maradhi na hatari lawama Uongo pia nilisema Mikono uliijaza nguvu Damu ilifika...
  4. Paw

    Namshukuru Mungu (Nimezaliwa)

    Nikiangalia nyuma yangu naona alama ya nyayo zikiwa zimekuja uelekeo wangu, nikitazama kwa umakini nagundua kuwa ni nyayo zangu hadi hapa niliposimama. Sioni mwanzo wake ila naambiwa kuwa walioona mwanzo wa hatua zangu nilikuwa nashahibiana na haiba yangy ya leo. Lakini yote ni heri maana tangu...
  5. Paw

    Kupata mtoto

    Heading hapo juu inasomeka kama haijakamilika vile. Inawezekana kila mwanaJF akawa amejenga picha yake na uelewa kuhusu hili neno Kupata Mtoto Mtoto ni tunu na furaha ya wazazi, ingawa inawezekana wazazi hao wakawa wapo ktk mahusiano rasmi ya ndoa, mchepuko na kadhalika. Lakini si mara zote...
  6. Paw

    Santa Claus Funny images

  7. Paw

    Anatomy ya Urban thug

    Evolution inaendelea
  8. Paw

    Loh: Kumbe nimezaliwa leo!

    Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni. Nilipaswa kudamkia ibadani lakini guts zikanileta online, ndo nakutana na zahama la kuzushiwa kuaga dunia (ingawa poster alitaka kutumia tamathali ya semi). Wakuu nipo, tena nipo sana nikifuatilia na kumoderate kila...
  9. Paw

    Elimika kuhusu Sensa ijayo

    SHERIA YA TAKWIMU, SURA 351(THE STATTISTICS ACR, CAP.351 1.0 Utangulizi Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ni Wakala wa Serikali yenye mamlaka ya kisheria ya kutoa takwimu rasmi nchini. 2.0 Mjukumu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu yameainishwa katika Sheria yaTakwimu, 2002 (Na.1, 2002). Miongoni...
  10. Paw

    Happy Birtday King'asti

    It took me all way since morning try to think and think and think how to wish you happy life in this very moment where you celebrate your day. Always, i am just like robot (around), to see and read most posts and wishes without neglecting comments behind the name. I conclude into the simple...
  11. Paw

    Picha niliyoipenda (huzunisha), weka caption

    ...................???
  12. Paw

    Why Tanzania's cotton crop is still bound up with poverty

    Why Tanzania's cotton crop is still bound up with poverty A new initiative aims to tackle the unscrupulous agents and lack of credit that stop Tanzanian farmers making a good living...
  13. Paw

    Amazon's bid to challenge iPad for tablet market

    Amazon is set to join the tablet wars on Wednesday as it launches a rival to Apple's best-selling iPad, a device that has made digital tombstones of all the competition so far. Click full story HERE
  14. Paw

    Polisi wamsaka kapteni mv spice islander

    Developing story....
Back
Top Bottom