Zingatia kula milo miwili kwa siku ikifika saa kumi jioni usile tena mpaka kesho yake ni muhimu kwa afya yako ya miaka mingi ya mbeleni.... hakikisha unawekeza kwenye mazingira ambayo umepangiwa kazi/ unafanya kazi mfano ww ni mtu wa dsm ila kazi unajua ni ya mda mrefu upo mkoani wekeza...
Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi, pia kazi ya bodaboda imeajiri kundi kubwa la vijana kuanzia wasomi na watu mbalimbali wanaooendelea...
Kwa akili yako unaona lisu sio mzalendo?? Unadhani kuna mwanasiasa ameipa changamoto lisu serikali tokea enzi za mkapa mpaka sasa kama lisu? Sidhani kama kuna die harder wa chadema kama lisu...maana akitaka hela yoyote awauze chadema angepewa..ni mtu ambaye amamekwepa rushwa nyingi sana za vyeo...
Kwa mlolongo wa kutoa huduma kwenye taasisi muhimu za serikali mfano ukienda NIDA kupata kitambulisho unachukua muda mrefu sana mpaka kupata namba ya NIDA na kitambulisho chenyewe unaweza usipate usipojiongeza vizuri.
Pia ukienda RITA kupata huduma tabu ipo palepale utazungushwa kwelikweli ila...
Huyo jamaa alikuwa mtu wa Tiss alikaa sana ndani ya chama kama wasaidizi wa viongozi mbali mbali baade akarudishwa ikulu, sio kila kitu mpaka uambiwe mtu alikuwa nani we jiongeze tu ni msaidizi wa raisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.