Search results

  1. Mayotte

    Wanaume wengi mnapishana na watoto wenu barabarani

    Daah umeandika simple,short,clear and touching. Ww mwanamke una busara sana .ungekuwa mke wangu ningekuwa nishabadili tabia zangu mbaya zote . Mana unaongea polepole,kwa kuelimisha na kushawishi kwa wakati mmoja.sisi wanaume wengine wanawake wenye midomo mirefu or wanaojua kupayuka bila nidhamu...
  2. Mayotte

    Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Huyo mkewe ni Legendary wa hizo kazi..ukiwa Layman utachukulia poa ila wana wanafanya yao.Ukiwa home mume ni mmoja tu na heshima lazima ichukue mkondo wake
  3. Mayotte

    Je, ni sahihi mke kutumia majina haya kwa mwanaume mwingine mbele ya mume wake?

    Kuna mambo matatu ambayo hayajakaa sawa kwenye hilo tukio zima kwa ujumla wake. Kwann hajaSave hiyo namba kama kweli ni boss wake?hivi namba ya boss wako unapataje ujasiri wa kutoiSave?mashaka yanaanzia hapa,kwa sisi wazee wa mechi za ugenini tunajua hii ni moja ya mbinu za ULinZi. Boss...
  4. Mayotte

    Mliopiga Misumari Fraga na sasa Lwanga, mnatukosea wana Simba

    Simba hiyo ni tabia yao kwa ujumla,si wachezaji si viongozi kupigana misumari ndio jadi yao. Simba wameionea sana Yanga kwenye kuwapiga misumari wachezaji wao,sasa kibao kimegeuka wanapigana wao kwa wao. Wacha mvua iendelee kunyesha tuone panapo vuja.
  5. Mayotte

    Yupi ni mbaya zaidi kati ya anayekuroga usipate pesa na anayekuroga jogoo asisimame?

    Nikiwa sina hela ndio nakuaga na mawazo kama yako haya mkuu. Nikizipata huwa siwazi vitu vya hovyohovyo
  6. Mayotte

    Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

    Hamna majungu kweli hapa??mana naona issue za mapenzi ndio zimetawala kwa hio mnataka Ummy awaambie acheni kupigana miti!?? Nyie si watu wazima mnajua mnachokifanya?au mpaka mpelekwe pelekwe kama watoto ndio mjue MTU anafanya kazi? MTU mzima hapangwi anajipanga.pigeni kazi acheni fitna na...
  7. Mayotte

    Ongezeko La Mashoga{Wanaume walioumaliza Mwendo}linakuwa kwa kasi ya 10G

    Ww kama unagongwa kimpango wako usituchafue tafadhali ili uone mko wengi msenge rema ww.. Yaani kati ya 10 wanne mchelemchele??duh sasa hiyo si sodoma na gomora kama ndio hivyo? Huo mpango wenu wa kuongelea hizo mambo ili ionekane ni kitu cha kawada umefeli kabla hata haujaunza...
  8. Mayotte

    kweli nchi ngumu hii !

    Daah nimetoka kapa kabisa sijajua jina LA mtoa mada ndio limeniathiri nisielewe or uhalisia wake ndio tatizo..
  9. Mayotte

    Watu wanajuaje Kama umepata hela

    Asante mkuu ndio maisha
  10. Mayotte

    Nimeoa ila najiona sina tofauti na Senior Bachela

    Hahahaha ww jamaa mkorofi sana,unataka kumghadhabisha huyu jamaa bure tu
  11. Mayotte

    Watu wanajuaje Kama umepata hela

    Mwaka huu mwezi March nilitop up mkopo bank fulani ambayo huwa tunachukua mkopo sisi wafanyakazi wa ofisi fulani hapa mjini. Hako kamkopo sio kakubwa ni Milion saba hivi,na Malengo ya kuchukua huo mkopo ni kupandisha vyumba kama viwili hivi na sebule kwa ajili ya wapangaji ili pesa zitakazo...
  12. Mayotte

    Sehemu gani nzuri ya starehe Mwanza?

    Mkuu embu tutafutane bhana tubadilishane mawazo,usiwe MTU wa ndani ndani kama utumbo
  13. Mayotte

    Waislamu wanatubeba sana!!

    Kwa Waislam Uongozi ni Dhima..yaani ni mtego.kwamba kama unaona hutotenda haki ni bora ukae pembeni sababu utakuja kuulizwa namna uongozi wako ulivyowafanyia watu. Kwa Wakristo Uongozi ni Fahari.ukiwa kiongozi basi wakati wako wa kujifaharisha,kujimwambafai nk nk so ukishaleta mambo hayo ni...
  14. Mayotte

    Mechi Kuhairishwa, Simba na Nembo ya GSM

    GSM waachane na hao Simba kwa sababu Simba akicheza na timu yoyote ambayo imedhaminiwa na GSM matangazo yataonekana tu uwanjani.
  15. Mayotte

    SoC01 Aibu yako umaskini wako

    Kujipa hadhi usiyonayo na matarajio makubwa kuna sababisha kuwa na aibu ktk kufanya mambo madogo madogo yanayoleta matokeo makubwa. Maisha ya sasa kuwa na Elimu kubwa pasipo kuwa na pesa bado ni kazi bure,watu wameipa fedha heshima kuliko kitu chochote.
  16. Mayotte

    Breaking: Mechi ya Simba na Kagera Yaahirishwa Rasmi Kufuatia Wachezaji wa Simba Kuugua Mafua Makali

    Wachezaji 30 ukitoa 13 si wanabaki 17 au??na uwanjani wanacheza 11 sub watano. Au ile kauli ya kikosi kipana msimu huu haipo tena?
  17. Mayotte

    Kuridhika ni mwisho usio fikwa

    Nimependa hapo tu pa "usibane bane sana utazikwa nalo".. Life is too short
  18. Mayotte

    Roho ya kukataliwa

    Jiandae kisaikolojia kwa huyo junior wako kazini kuwa boss wako.kuna mambo huwezi kushindana nayo sababu ni either nguvu za Mungu,or za shetani zimetumika ili MTU kufikia malengo yake kama sio juhudi binafsi. Kama ni nguvu za Mungu huna budi kuwa mpole tu na kushirikiana nae.kama ni nguvu za...
  19. Mayotte

    Kero uwanja wa Benjamini W. Mkapa! Hali ni mbaya

    TFF ya hovyo na ya mchongo,utachukuaje % ktk kila mechi halafu hufanyi marekebisho? Hakuna kitu kibaya kama umebanwa na mkojo unaenda kukojoa kwenye vyoo vya uwanjani pale unakuta mikojo imejaa kama mafuriko hata pa kukanyaga hakuna na maji hayatoki.. Kwa sisi wengine wenye mioyo dhaifu mkojo...
  20. Mayotte

    Wazee wa Kwamsisi Handeni walitaka sado tatu za mate ya binadamu!

    Ingekuwa enzi za Kuberi zile hayo mate yangepatikana fasta tu kwa vijana mana si kwa kutema kule
Back
Top Bottom