Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema...
Ekari 14 za mpunga kuzihudumia ni gharama wakuu kama wewe ni mkulima wa mpunga unaelewa nini napitia
Kwa ufupi mpunga bila maji ni kamari na Sasa mpunga una miezi minne lakini hakuna dalili ya...
William Shakespeare aliwahi kusema kwamba "Nililia sana nilipokuwa sina Viatu lakini nilinyamaza baada ya kukuta Mtu hana Miguu"
Hivyo ndivyo ilivyo hata leo hii...Unaweza kumsimulia Mtu kitabu...
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao...
Nilishawahi mdanganya mwanafunzi IFM pale Kigamboni kwenye pantoni nasoma CPA kumbe ni darasa la Saba failure tu na kaingia kingi kweli ishu ilikuwa kakiomba kaje nikafundishe maana kalinambia...
Habari,
Kwa masikitiko makubwa baada ya kugundua mke Wangu anamahusiano mengine na kuamua kuondoka baada ya ugomvi mkubwa.
Sasa tukiwa naprocess kumpa talaka na mimi nikiwa nimebaki na watoto...
Baada ya miezi miwili na ushee ya kupost mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa jukwaa la makazi na ujenzi na kidogo ujasiriamali.. Hatimaye picha zimeanza kupungua sasa
Dhima ya hizi...
Habari wakuu wa kaya.
Nina account humu ila imebidi nifungue nyingine sababu tunafahamiana na baadhi ya watu humu na mimi ni mjuaji yani mbele za watu napenda kuonekana mwanamke hawezi...
Mungu asante sana kwa utukufu wako na uhai unaotupa watoto wako.
'Acha kulalamika, umechelewa, muda haukungoji, majadiliano ya siasa huleta uchomvu wa akili na upofu wa fursa'
Nilikuwa nawaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.