Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu Mtanganyika , usimkope ndugu yako hela kwa sababu kuna hatari ya kuharibu uhusiano wenu. Kukopa hela kwa ndugu kunaweza kusababisha migogoro na mvutano, hasa kama kuna tatizo la kulipa deni...
2 Reactions
8 Replies
104 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Hizi PhD za mfululilizo zinanipa alarm juu ya rasilimali za Tanzania. India wametoa PhD majuzi tu wamepewa gati nambari 2. Sasa sijui JMT au DP ndio waliowapa tenda. Korea nao wameona mpenyo.
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Mbona kila komenti na kila jukwaa jamaa anagonga likes? Inawezekanaje mtu akawa amesambaa maeneo yote hayo?
12 Reactions
32 Replies
1K Views
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
20 Reactions
306 Replies
20K Views
Hii timu huwa inanishangaza sana, Jana Fredy Michael kawa mfungaji bora wa Ligi kuu Zambia licha ya kutokuwepo huko kwa miezi kadhaa, Saido mwaka jaba aliibuka mfungaji bora NBC PL akagawana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Radio ya Kiba na kikeke imekuja na style ya drama kujitangaza. Nawashauri wawekeze kwenye content ndio kila kitu kwenye media. Leo hii clouds na wasafi zina wasikilizaji wengi sababu zina...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe hivi kwanini wanasheria mnaitana wakili msomi 🤔 kwani kuna mawakili sio wasomi ?
18 Reactions
151 Replies
2K Views
Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
15 Reactions
93 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,707
Posts
49,784,160
Back
Top Bottom