Taarifa ndio hiyo kwamba Wanawake wanaendelea kutoa Viongozi Wakuu wa Nchi kwa njia za kidemokrasia
Mexico inatarajiwa Kupata Rais wa kwanza Mwanamke katika matokeo yatakayotangazwa muda mfupi...
Moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuwasilisha hoja kwa kuzingatia mtiririko wa wa ushahidi unaokubalika kwenye jumuiya ya wasomi duniani na kwa mpangilio sahihi.
Maana...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Habari zenu, naombeni msaada mke wa rafiki yangu amekuwa na tatizo la KUJAA mate mdomoni, nilipoambiwa nilidhani ni dawa anazotumia zinasababisha, kifupi anatibiwa afya YA akili pale muhimbili so...
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana.
Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
Yule mwamba aliyewahi kuwa raisi wa Iran ambaye aliwakosesha usingizi viongozi wa nchi za magharibi wakati wa uraisi wake amekubali maombi ya wapenda haki wa Iran kugombea tena uraisi ili...
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.