Taarifa ndio hiyo kwamba Wanawake wanaendelea kutoa Viongozi Wakuu wa Nchi kwa njia za kidemokrasia
Mexico inatarajiwa Kupata Rais wa kwanza Mwanamke katika matokeo yatakayotangazwa muda mfupi...
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana...
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo...
Hiki kifurushi kinakupa 30 GB kwa 1,000 bila kikoma kwa siku 3 mfululizo, kuanzia saa 5 usiku hadi saa 11 alfajiri. Sijajua ni bila kikomo kudownload au ku browse tu.
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
Wakuu.katika harakat za kufatilia taarifa za coin tofauti tofauti nimekutana naoffer kama izi .....nyingi ikiwemo na kwenye account za watu wakubwa kama Trump. Je ni kweli watuma izo $5000
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.