Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Mamlaka tunaomba mfuatilie habari hizi vinginevyo jamii yetu inaharibika.
Ikumbukwe Ile ni Hoteli ya Kanisa la RC na Iko kwenye eneo la kabisa na la kutolea mafunzo na kulea watawa.
Japo mambo...
Habari wana jamii forums [emoji1366]
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?
For...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mimi ni mkatoliki
Nimetazama kazi anazofanya Mwamposa nimeona Ni kazi kubwa Sana zaidi ya zile walizofanya Petro na Paulo!
Hata Yesu mwenyewe almost afunikwe, but anabebwa na muujiza wa kufufua...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu ameanza ziara jimboni Iramba na kushangaa kukosekana Huduma za Maji
Lissu anasema Mbunge wa Iramba ni Waziri wa Fedha lakini Jimbo lake halina Maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.