Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
15 Reactions
124 Replies
2K Views
Wakuu wa AI Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
2 Reactions
15 Replies
179 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
25 Reactions
112 Replies
4K Views
Ushawahi sikua watu wanaitwa "resentful" ? Hawa ni watu ambao kuna vitu hawana, wengine wanavyo, wao wanaamini wangepaswa kua navyo, sasa matokeo yake wanakua na chuki na husda. Ni lazima...
0 Reactions
10 Replies
116 Views
Wakuu, natumai hamjambo, Kwa upande wangu hali si shwar, ninaumwa hapa nilipo na ninaish mwenyewe. Aisee leo nimetamani ningekuwa nimeoa hakuna kitu nimefanya nimelala toka asubuh chumba...
4 Reactions
21 Replies
212 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
0 Reactions
43 Replies
939 Views
MUHIMU: UZI HUU SIO WA KUKUMBUSHANA COMPUTER GAMES Binafsi nilianza kwenda Internet cafe 2002, computer zilikuwa zenye visogo 😂 . Mitanado maarufu kwa hapa bongo ilikuwa ni Marafiki.com na...
27 Reactions
128 Replies
9K Views
Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl) Sehemu ya kazi -Dar es Salaam Majukumu yake -Kufanya usafi wa nyumba ya wastani -Kufua nguo za watu wawili tu -Kupika chakula cha watu wawili...
7 Reactions
56 Replies
650 Views
Tangu kung'olewa kwenye kiti cha Uspika wa Bunge, mbunge wa jimbo la Kongwa Job Ndugai hachangiagi chochote bungeni wala kuwasemea wananchi wake wa Kongwa! Hotuba mbalimbali za bajeti kuu ya...
10 Reactions
41 Replies
902 Views
Inasikitisha imefika wakati hata watu wenye akili zao hawahoji chochote hata mikataba ya miaka 30 au isiyo na kikomo. Mpaka leo mkataba wa DP world ni wa siri hakuna tender yeyote iliyotangazwa...
0 Reactions
8 Replies
142 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,377
Posts
49,773,199
Back
Top Bottom