Sina wasiwasi kabisa kuwa mashitaka ya uhaini dhidi ya Lissu sio rahisi kuyathibitisha mahakamani na hivyo naamini katika hili shitaka hawezi patikana na hatia.
Hofu yangu ni makosa ya mtandani...
Kwa Mara nyingine tena, Dola imethibitisha kua ndio inayokitumia chama Cha Mapinduzi kuendesha Nchi.
Adui wa Siasa Safi, Utawala wa Sheria na Maendeleo ya Watu ni DOLA inayokitumia CCM.
Mwl...
Tanzania's opposition leader Tundu Lissu arrested after rally | Africanews
Tundu Lissu among Tanzania's top Chadema figures arrested in crackdown
Tanzania clamps down on opposition rally, arrests...
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na...
Ukweli ni kwamba ukimkamata mtu kama Tundu Lissu na ukamfungulia kesi unakua haumshushi bali unazidi kumuongezea credibility kwa watu na anazidi kujikusanyia wafuasi. Kumkabili Tundu Lissu...
😁 Hili li nchi ni kichekesho , yaan kuitamaza Tanzania wakati ukiwa unaishi taifa lingine , nikama umepata ofa ya kutizama stand-up comedy Bure.
Siasa za kipumbavu sana!
Wanabodi,Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya Firauni,Nguvu iliyotumika kumkamata Tundu Lissu inashindwaje kuitoa pikipiki iliyopo kituo cha bondeni upande wa kushoto pale darajani ukiwa unatokea...
Habari wakuu nimerudi kwenu kijana wangu siku ya Eid pili aliniambia anahisi akiwa anapumua au kuvuta pumzi kwa ndani anaskia maumivu sehemu yoote ya mgongo,nkamuuliza Hali imekuanza lini akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.