Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Maamuzi ya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kupitia BAWACHA mkoani Songwe kutishia au kutaka kutembea bila nguo kama njia ya kuonyesha hasira zao ni hatua mbaya na isiyofaa kwa chama cha siasa...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
Asalamaleku!! Mtu mzima secretarybird rasmi najiunga na team kataa ndoa baada ya kujitafakari kwa siku nyingi. Sababu kuu iliyonifaya kuchukua uamuzi huu ni kuwa Kuna utafauti (wa utamu) kati ya...
7 Reactions
70 Replies
693 Views
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa...
1 Reactions
73 Replies
594 Views
Bwenyenye wa Kitanzania, mtu mwenye ukwasi wa maana Bakhresa hapendi mapicha wala kuonekana ovyo japo ana media kubwa, ana ving' amzi vyake, viwanda na timu ya mpira, ila ni nadra sana kumwona...
14 Reactions
72 Replies
1K Views
Vyama vyote vya siasa havitaki kuwepo mgombea huru. Hii ni kwa sababu itaondoa uwezo wa chama cha siasa kumdhibiti mwanachama anae tofautiana nacho. Huu ni wakati muafaka wa kumpa haki kamili raia...
1 Reactions
2 Replies
13 Views
Kiburi kiliponza kichwa, kwa chadema kutosaini, huku vyama vyote 18 halali vikisaini makubaliano ya namna ya kuendesha kampeni kimaadili, chadema isije jiona ni mwamba kana kwamba itabembelezwa...
2 Reactions
19 Replies
123 Views
Awali ya yote nachukua fursa hii kutoa pole kwa familia , Wana - Rorya na Watanzania wote kwa ujumla kwa kuondokewa na Mzee wetu , Daktari Bingwa wa Mifupa Professor Philemon Mikol Sarungi...
3 Reactions
7 Replies
397 Views
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa...
3 Reactions
13 Replies
14 Views
Almost 80% ya wanawake wanaishi na waume ambao sio chaguo lao halisi. Yaani they just " settled" with their current husbands baada ya kushindwa kupata wanaume WA ndoto Zao. Kwa utafiti...
16 Reactions
48 Replies
1K Views
Katika kipindi hiki nyeti cha historia ya taifa letu, ni jambo la busara na uzalendo kwa viongozi wetu wastaafu—kama Jaji Joseph Warioba, Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, na wengine...
4 Reactions
56 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,958,458
Posts
52,788,632
Back
Top Bottom