Leo tukiwa tunaelekea Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu pamoja na na Pasaka, Mwanasiasa Mashuhuri nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu amefikishwa Mahakamani Jijiji Dar es Salaam na kushtakiwa kwa Makosa ya...
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu...
Kocha wa Manchester United ya England, Ruben Amorim atuma salamu kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo kwa Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Jezi hii iliyosainiwa na wachezaji wa Man...
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine...
Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama...
Mkurugenzi wa halmashauri ya Morogoro ndugu Jeshi Lipembe amesema kwamba ameagizwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwaadhibu walimu na watumishi wa sekta ya afya watakaoshindwa kutoa mchango wa...
TUNDU LISU NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba za ibada...
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao...
In brief, anasema:
➡Haogopi kufa, maana kila mmoja atakufa....
➡Mabadiliko (changes) huongozwa na mtu mmoja ambaye yuko tayari kufa kwa ajili ya wengi. Atolea mfano wa Yesu Kristo....
➡Mitungi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.