Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nataka niulize hili swali kabla sijaenda kulala. It is just a rhetorical question. Itakuwa vipi kama wananchi wakisema,"Nyie Polisi,msimkamate Tundu Lissu?"
0 Reactions
14 Replies
298 Views
TAFADHALI SOMA MPAKA MWISHO KWA MSAADA NA KUELEWA ZAIDI Kabla ya kuanza, tunarudi nyuma kwa mwaka wa 2737 KK. Imekuwa ikichunguzwa kwamba marejeo ya kwanza ya moja kwa moja nchini Uchina...
20 Reactions
287 Replies
53K Views
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇮🇷🇮🇷🇮🇷🇮🇷 Bunge la shirikisho la Russia (DUMA) limepitisha na kuongeza muda wa ushirikiano wa Kijeshi na Iran ikiwa na vipengele vya kuingilia Vita yoyote endapo mshirika atashambuliwa na...
3 Reactions
21 Replies
296 Views
Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October. Na...
1 Reactions
9 Replies
47 Views
Mkuu wetu mtukufu ambaye ni mtumishi namba moja wa Taifa ili, Mheshimiwa John Pombe Joseph Magufuli, anaendelea kuliongoza Taifa katika misingi aliyoirithi kwa Viongozi waliopita hususani Baba wa...
17 Reactions
92 Replies
46K Views
G55 wanazo hoja za msingi sana kwa nini hawaungi mkono no reform no election. Kwa mantiki hiyo ni vyema Lisu anapaswa kukiri kuwa G55 wana hoja makini kiliko kuendelea na ujinga wa kuendelea...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!?? Wepesi kama biskuti? Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko. Keyboard warriors wa hapa Jf...
3 Reactions
110 Replies
1K Views
Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo.. Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa...
28 Reactions
115 Replies
3K Views
Hebu fikiria hili. Chakula cha familia kinatayarishwa. Halafu kabla ya kula mtoto anamshauri baba kwamba ni vema kila mtu anawe mikono kabla ya kuanza kula, kwa sababu huko nyuma waliumwa matumbo...
6 Reactions
19 Replies
346 Views
SIKU YA MECHI KALI. 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Azam Fc 🆚 Young Africans SC 📆 10.04.2025 🏟 Azam Complex 🕖 1:00 Jioni
0 Reactions
5 Replies
58 Views

FORUM STATS

Threads
1,957,684
Posts
52,766,214
Back
Top Bottom