Habarini wanaJamiiForums!
Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami?
Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha...
MBUNGE GULAMALI - "TUNAMUOMBA SANA RAIS SAMIA AMTEUE TENA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA
Mbunge wa Jimbo la Manonga Mkoani Tabora Seif Khamis Gulamali ameitaka Serikali kutosita kuchukua mikopo kwa...
Pale Songea baada ya hali ya kiuchmi kua ngumu kidogo kwa msafara wa chadema Songea, kama kawaida ya tabia yake ya kuomba omba, Tundu Lisu aliomba kuchangiwa pocket money kidogo na wananchi wa...
Wasalaam,
Hongera kwa jamii yote ya wapenda maendeleo ya mpira nchini kwa mafanikio ya Simba SC kutinga nusu fainali ya CAFCC 2024-25.
Bila kusema mengi, baada ya mechi ya marudiano ya Simba vs...
Hizi ni Nukuu za Nyerere
"Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”
” Tunataka...
Unawalipa mishahara mizuri, wanalala pazuri, wana uwanja wa maana, hakuna njaa, wanakula vzr, facilities zote azam wanazo kwanini wakuumize moyo wako.
Huoni unamkosea sana mungu kwa kuwaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.