Nlitegemea sisi Afrika tungekuwa moja ya masoko makubwa kabisa ya bidhaa za China. Sivyo. Why? Huku wanatuletea tu takataka soko lao kubwa lipo Ulaya na Marekani.
Ndo maana jamaa wanatudharau tu...
Wanabodi,
Hiki ni kipindi cha Hard Talk cha BBC https://youtu.be/k8VtAND6718?si=AbTE7UXdro-reN-n
Declaration of Interest
Naomba ku declare interest kuwa japo mimi nina chama na sio chama cha...
Yani mngejua tu namna China anavyoichukia Marekani ya awamu hii na jinsi walivyo na hasira acheni tu, Soko kubwa la dunia nzima lipo Marekani wao wamepigwa pin kwa ushuru mrefu halafu nchi zingine...
Kwa mfano nina Laini ya Airtel Tanzania niliyokuwa Naitumia nikiwa Tanzania, ila naambiwa kuwa nikirejea Tanzania haitokuwa inatumika (na Ninunue Laini mpya) kwani itakuwa Imeshafungiwa kwani sasa...
Hapo vip!!
Kwa ubora wa Simba na hadhi yake inauwezo wa kucheza ligi kuu ya misri kisha ikatwaa kombe.
Tukumbuke Simba ni timu ya 4 sasa hivi kwa ubora na ukubwa barani Afrika,hivyo kwa hujuma za...
Fukuto ni kubwa na linazidi kuwabana hewa! Hapatoshi wala hapatoshani... Hatimaye wameamua kumkamata.. Hii ni aibu kubwa Sana! Na ni kushindwa kubaya kabisa
Walianza kwnye kinyang'anyiro cha...
Uasi ni neno la kiswahili likiwa na maana kamili ya kwenda kinyume na jambo.
Kuyakataa au kuhamasisha kuyakataa ya CCM na agenda zake zikiwamo za kutaka ufanyike uchaguzi wenye kuwapendelea wao...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhan Kailima amesema mpaka sasa hakuna chama cha siasa ambacho kimewasilisha malalamiko juu ya kanuni za maadili ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.