Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata...
8 Reactions
176 Replies
2K Views
Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio...
0 Reactions
5 Replies
54 Views
Habari wapambanaji kuna single mother mmoja yupo na mtoto mdogo yupo na miaka 2 baada kuzalishwa na jamaa kakataa mtoto nikaona ngoja niishi nae yani najuta mtoto wake ni mtundu balaa kachelewa...
28 Reactions
145 Replies
2K Views
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita waitara amemtuhumu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche kuwa ni muongo na mbinafsi na kwamba anashirikiana na mwanaharakati...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii ndio hali halisi, unaweza kuambiwa lolote lakini wewe mwenyewe jiongeze ================ Rais Samia Suluhu amefanya mazungumzo na uongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...
1 Reactions
20 Replies
427 Views
Watu wengi wamejaa fadhaa kutokana na mambo mbalimbali yanayoendelea huku na kule duniani: vita, magonjwa ya kutisha, ukosefu wa ajira, njaa, uhalifu, matetemeko, gharama kubwa za maisha, nk...
3 Reactions
10 Replies
183 Views
Maandamano kama hayo ya wanawake wakiwa uchi wa mnyama yalishafanyika mara kadhaa kwenye nchi za ulaya ili kushinikiza kitu fulani. Midume ya ulaya kwa kuwa hayana nguvu timilifu za kiume huwa...
1 Reactions
4 Replies
76 Views
Habari wa coding. Kama ttitle inavyojieleza kwa utafiti niliyofanya kwenye upate wa coding, DEEPSEEK niko vizuri zaidi kwa kuandika code ambazo sija experience kwenye CHATGPT, nimekuwa mdau wa AI...
24 Reactions
58 Replies
2K Views
Watu wanaukubali usemi huu wa Waswahili kwamba: "Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja" lakini ni wagumu kukubali kuwa Yesu atakuja. "Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa...
4 Reactions
8 Replies
162 Views
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa. Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi...
23 Reactions
199 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,958,350
Posts
52,784,594
Back
Top Bottom