TAARIFA KWA UMMA
Ndugu wanahabari, Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma tunaendelea vyema na majukumu ya kusimamia sheria za nchi katika kuhakikisha usalama wa raia na mali zao.
TAARIFA YA KUKAMATWA...
KIGANGA,JA, RAMADHANI, JA, And LUGAKINGIRA, -J.A.)
We have to be clear in our minds what treason is. What does it entail generally: against who can it be carried and by whom"-:'
The Concise...
Hebu fikiria hili. Chakula cha familia kinatayarishwa. Halafu kabla ya kula mtoto anamshauri baba kwamba ni vema kila mtu anawe mikono kabla ya kuanza kula, kwa sababu huko nyuma waliumwa matumbo...
Kwa namna ambavyo ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 ilivyotekelezwa kikamilifu na kwa ufanisi wa zaidi ya 98%,
Ni wazi imani na kuaminika kwa serikali sikivu ya CCM kwa wananchi inaweza kua ni...
Mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Kagemu iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera Caren Mwemezi (18) amekutwa amejinyonga nyumbani kwao mtaa wa Nyakanyasi huku sababu zikitajwa kuwa...
Ni pigo Gani hawa Kobazi walipata?
Wapi FaizaFoxy, Hezbollah kwa zaidi ya Miaka 30 imekuwa ikimiliki Silaha nzito kuliko Serikali ya Lebanon na mafunzo yao yalikuwa Imara kuliko Jeshi la...
Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa...
Hilo kosa la uhaini litaishia Polisi , ila mahakamani hamtalisikia.
Ikitokea limeingia mahakamani, basi mjue ni swala la muda tu kabla halijafutwa.
Hii ni mbinu tu ya kujaribu kumtisha Lissu na...
Unamfahamu Ayrshire? Huyu ni ng’ombe wa maziwa mwenye mchanganyiko wa tija kubwa, maziwa bora, na uvumilivu wa hali ya hewa ya Tanzania!
Sifa Kuu za Ayrshire:
Hutoa lita 20–30 za maziwa kwa siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.