Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
Habari za muda mrefu wana jukwaa Jana nilileta uzi wa jirani mlevi ambaye akilewa anatukana usiku, nashangaa leo nimerudi sisikii kelele zako, enewei tuachane na hayo. Siyo lengo la uzi.
Iko...
Ndugu zangu Watanzania,
Nashindwa niandike nini ,nashindwa niseme nini ,nashindwa nieleze vipi juu ya uwezo mkubwa wa kiakili alionao na aliojaliwa kuwa nao Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe...
Stesheni kuu ya Treni ya Mwendokasi jijini Dodoma, imefanyiwa mabadiliko ya jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu, Dodoma.
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Ukurasa rasmi wa...
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana...
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki...
BONI YAI ABADILISHA GIA ANGANI?
Boniface Jacob aka Boni Yai, ambaye alikuwa Meneja Kampeni wa Freeman Mbowe na ni mtu wake wa karibu, amefanya maamuzi kuonyesha kuwa anasimama na uongozi wa Tundu...
Mwaka 2020/21 NHIF ilipata hasara ya Bil 109 huku mfumo ulikuwa ukijiendesha kwa hasara kwa zaidi ya asilimia 49
2. Mwaka 2022 NHIF ilipata hasara ya Bil 204 huku taasisi ikijiendesha kwa hasara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.