Unaweza kudhani labda hii ni Historia ya Kutunga! Lahasha hii ni Historia ya kweli kabisa kutoka Kwa Wakazi Katika Visiwa Vya Comoro #ngazija
Msikiti Huu Uliopewa Jina #shiounda Ulijengwa na...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi...
Watanzania wengi wa Vijijin na mijin walikua hawajui ukweli huo kua WAZIRI WA TAMISEM , Mh Mchengerwa Kaoa Mtoto wa Rais Samia.
Waziri Mchengerwa ndio Waziri mwenye kusimamia Uchaguzi Mkuu...
Umofia kwenu wana JF,
Mwanamuziki Moses Bushangama maarufu kama Mez B amefariki dunia. Mez B alikuwa mmoja wa Wanamziki wanaounda kundi la Chamber squard, amefariki leo mjini Dodoma.
Habari hizi...
BALOZI NCHIMBI AFUNGA KAZI RUVUMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha ziara yake ya siku tano mkoani Ruvuma, akisisitiza kuwa CCM itaendelea...
Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kazi🤣
Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na...
Huyu bwana oleg Gordievsky alikuwa ni jasusi wa KGB aliyeifanyia kazi MI6 ya uingereza , amefariki tokea mwezi march halafu mimi hata sikukumbuka kufuatilia habari zake. (of course...
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi...
Hapa ninapokaa jirani mbaba akilewa kila siku usiku anatukana matusi tena kwa sauti hadi nakosa usingizi hadi anyamaze ndiyo napata usingizi.
Hii sasa tayari ni kero nahitaji kupumzika mapema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.