Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio...
1. Si kubwa kama jiji la Dar Es Salaam, lakini ningeambiwa nichague pa kuishi, ningepapendelea Kampala kutokana na hali yake ya hewa nzuri
2. Lugha ya Kiganda ndiyo imetawala kuanzia kwenye...
Kupitia kipindi cha One on One with Doyo Hassan Doyo, Mgombea Urais wa Tanzania 2025 kupitia chama cha NLD amesema ingawa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri sana katika uongozi wake...
Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana...
Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi.
Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi...
Habarini ndugu Zangu, mwaka juzi nilikuja kuomba msaada hapa jukwaani wa kukosa uwezo wa kishiriki tendo la ndoa. Watu mbali mbali walijitolea kunielekeza matibabu na kunitia moyo, Mungu awabariki...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi...
Habari wana JF. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea, nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.