Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya...
Kashfa kubwa zaidi ya Ufisadi Nchini Tanzania kuliko zile za EPA na ESCROW!!
CCM wanamiliki mgodi mkubwa sana wa Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma. Haifahamiki pia ni kwa namna gani na kwa taratibu...
Salamu wakuu kwenye jukwaa la burudani.
Maisha ya mwanadamu ni mafupi, hivyo hata kama hatuna kipato kikubwa hatuna budi kujitafutia furaha sisi wenyewe maana muda hausimami na umri unaenda. Si...
Hii ndio Taarifa Mpya ya leo kutoka Kanda ya Nyasa, kwenye vile vinavyoitwa vipora vilivyosalia.
Wananchi wote wa Mbarali wakiwemo wanaccm wamekubaliana na hoja ya Chadema ya No Reform No...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna...
1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah.
2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe...
Wadau,
Napenda kupata tu ushauri, ninachotaka kufanya sifanyi na ninachofanya sio ninachotaka kufanya..
...
Nisikuchoshe ni hivi, mwaka jana nilishawahi kulala na mwanachuo fulani kumbe ni...
Kundi au watu wafuatao wameshiriki kuiuwa CHADEMA kwa mikono yao kwa makusudi mazima na wanastahili kulaumiwa sana
1.Wajumbe wa mkutano mkuu
2.Lissu
3.Lema
4.Heche
5.Wanaharakati uchwara
6.Dr Slaa...
SEHEMU YA KWANZA
Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba...
Wakuu kwema...
Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.