Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wakuu, Kama wewe ni mwanafunzi wa elimu ya juu, au unajiandaa kuandika research proposal, dissertation au thesis, kuna swali moja ambalo wengi huwa wanajiuliza lakini majibu yake...
4 Reactions
7 Replies
140 Views
SEHEMU YA KWANZA Salaam na heshima nyingi kwenu; Uongozi, Wanachama, Wapenzi na Wadau wote wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Waswahili husema; haraka haraka haina baraka, simba...
0 Reactions
39 Replies
874 Views
Moja ya Makosa ya CDM ni Kuamini wao ndio wana hakimiliki ya Upinzani Nchi hii na Kila Mpinzani anastahili kufuata wanachoamini wao. Tayari wamegawana mbao,
13 Reactions
107 Replies
1K Views
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma...
19 Reactions
416 Replies
16K Views
Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo...
2 Reactions
14 Replies
320 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewaambia watanzania wapime wenyewe, wapinzani badala ya wapinzania hao kwenda kwao kuwasaidia na kuwaomba mchango, huku wakiwakejeri. Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi...
0 Reactions
4 Replies
121 Views
Adam na Eva waliumbwa na kuwekwa kwenye mazingira ya utoshelevu. Kama haitoshi Mungu aliwawekea akiba kubwa ya Dhahabu (Dhahabu ya Havira) na vito ili viwasaidie watakapoongezeka. Bustani ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala...
11 Reactions
115 Replies
2K Views
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu...
6 Reactions
46 Replies
334 Views
Kama Umewahi Kupita Pita kwenye Mitandao ya Kijamii Sana sana X Utakuwa Si Mgeni sana kumjua Daudi balali ambaye Baadhi ya Vitu alivyotabiri Vimetimia Ila Vingine bado vinazidi Kutimia Huku...
9 Reactions
96 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,958,871
Posts
52,803,551
Back
Top Bottom