Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums,
Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari wakuu.
Kwa mwenendo wa maisha ya sasa, unaushauri gani kwa kijana anaetaka kutoka kijijini kwenda kusaka maisha mjini?
Mwenye elimu ya kidato cha nne, ana pesa kidogo ya kuanzia maisha...
Picha za hivi punde za setilaiti za Kituo cha Usaidizi wa Wanamaji Diego Garcia katika Bahari ya Hindi zinaonyesha uwepo mkubwa wa wanajeshi/ Ndege-vita za Marekani zikiwa zimeegeshwa kwenye lami...
Anaandika JJ Mnyika Katibu Mkuu.
Kujibu andiko la Wakili Msomi Jonathan Mndeme
———————
Kabla ya vifungu vya 162(2) na (3) vya Sheria ulipaswa kuanza na 162 (1).
Kifungu cha 162(1) kinaeleza...
Wanabodi,
Naomba kuanza na angalizo!
Simple Mind Discuss People
Ordinary Mind Discuss Events
Great Minds Discuss Ideas。
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kiutu uzima,ya ku discuss ideas, hakuna...
Wakuu kuna siku unaweza Kuja ukalala njaa kumbe mkeo ana fedha ya kutosha na akabunda kimya bila kukutaarifu,
Unakuta ana milion
Lakini pia ni vyema kufanya ambush phone searching mara moja...
Mtu mpaka anafikia kiwango cha kuitwa Jasusi , huyo sio mwenzako tena. Amini nakwambia .Anyway leo nakupa kisa kimoja hivi;
Siku moja Kwenye moja ya mitaa ya jiji la Moscow, maafisa wa polisi...
Unajua bwana...!
Kila jambo lina muda wake na kila jambo lina wakati wake. Unaweza ukajiuliza wakati ni nini na muda ni nini, natumai unaweza ukajijibu mwenyewe, ila kama utashindwa kujijibu...
Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.