Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .
Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele...
Habari za leo, naomba wenyeji wa JF mnipokee na mnifunze namna ya kutumia huu mtandao, nini nifanye na nini nisifanye.
Mimi ni mwanamke, makazi yangu ni mkoani Mwanza, ni mwajiriwa, napenda kula...
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na...
Nataka kupika pilau ila sijawahi kupika. Wabobezi wa mapishi hayo nahitaji ushauri wenu nifanyaje ili nipike pilau zuri. Ni mara ya kwanza nataka nipike chakula hicho pendwa, nahofia nisijepika...
Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona...
George Soros ni jina lenye uzito mkubwa na utata duniani. Kwa baadhi ya watu, ni mfadhili wa haki na demokrasia; kwa wengine, ni mkoloni wa kisasa anayefadhili vurugu kwa kutumia NGO na pesa.
1...
Sura ya kwanza: utangulizi wa ufunuo mkubwa zaidi “kila ubongo wa mwanadamu unaweza kutenganisha ukweli na uwongo
Ukituliza fikra na kufikiri”----donwill (x.com/spevot)
Muktadha
Kwa karne...
To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market...
Kwa uzoefu wangu Hawa mabinti kuanzia umri wa balehe Hadi miaka25 au zaidi kidogo Huwa huwaambi kitu wakakusikia.
Haijarishi wewe ni mzazi wake au kaka yake vyovyote vile hata kama wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.