Wadau hamjamboni nyote?
Tutazidi kupeana ilimu Ili tukae sawa
Hakuna shaka kwenye Uislamu mambo husika yametajwa kwenye sheria na Kanuni zake na yapo wazi kabisa chanzo kikiwa ni kurani
Ndugu...
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki...
Kila mwaka mnamo Aprili 1, Siku ya Kimataifa ya Ndege hutukumbusha jukumu muhimu la ndege katika kudumisha usawa wa ikolojia. Ndege huchangia afya ya mfumo wa ikolojia, udhibiti wa wadudu na...
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu.
Ndiyo ikawa hivyo.
Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson.
Watu wanadai hakuna video...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Habarini wana jukwaa,poleni na majukumu yenu ya kila siku katika kujiongezea mkate ,awali ya yote niwatake radhi kwa maana nakiri wazi mimi si muandishi mzuri ila nimeona vyema tu niwape kisa...
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine
SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI.
MILLI VANILLI ni kikundi...
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.