Mwaka Jana mwezi wa kumi nilinunua kuku wa kienyeji ili niwafuge kwenye nyumba yangu ambayo haijaisha vizuri huko Boko, Chasimba.
Nilikuwa na kuku saba broiler na wawili wa kienyeji, dume na...
Kuna aina tatu za Viongozi wa kisiasa Barani Afrika, ikiwemo Tanzania.
1. #KUNDI_UKOMBOZI: Aina ya kwanza ni viongozi watetezi wa nchi, ambapo kwenye kundi hili ndipo utawakuta watetezi wa...
Nikiwa mwanamke mzaliwa wa mkoa wa tanga kuna kitu nimejifunza kwangu mwenyewe na kwa wenzangu pia.
Wanaume wa bara wanatupenda sana, lakini kinacho haribu mahusiano yetu huwa ni wazazi wao...
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki...
Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne, Mama Salma Kikwete leo amekuwa miongoni mwa wabunge wabunge la Tanzania walioshiriki zoezi la uoshaji magari ya watu mbalimbali kwa lengo la kupata fedha...
Katika mazingira gani?
Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu.
Ndiyo ikawa hivyo.
William Shakespeare aliwahi kusema kwamba "Nililia sana nilipokuwa sina Viatu lakini nilinyamaza baada ya kukuta Mtu hana Miguu"
Hivyo ndivyo ilivyo hata leo hii...Unaweza kumsimulia Mtu kitabu...
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine
SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI.
MILLI VANILLI ni kikundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.